excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,960
sikiza! unajua ndo maana wakati mwingine manpitwa na mambo matam matam! sio kila kitu kinamwagwa hapa bana!.. come chocho here!Hahahahaha.....PM ndo kunani?
Nifunze papa hapa
sikiza! unajua ndo maana wakati mwingine manpitwa na mambo matam matam! sio kila kitu kinamwagwa hapa bana!.. come chocho here!Hahahahaha.....PM ndo kunani?
Nifunze papa hapa
afu nimekuweka kwenye list ya shake well!
jiandae kwa heavy shaking mamii!
siwezi kosea bana! kitu kikishasimama kinachoma chenyewe bila kushikiliwa! lols!Yani ukisikia paaaah ujue kakosa shabaha!
siwezi kosea bana! kitu kikishasimama kinachoma chenyewe bila kushikiliwa! lols!
Ndo maana nikakwambia Nafsi Yako kwa Kuwa Wewe Ndo Wajijua Vyema.
Kwa hiyo Unapokuwa Mwaminifu ni Kwa Faida Yako,
Na Unapokuwa mpu mba vu,Unaidhulumu Nafsi Yako.
Usiwe Unapend Kubisha Hata Pasipo Stahili,Wewe Ni Hakimu Wa Matendo Yako Mwenyewe,
THE CHOICE IS YOURS.
hakukufahi hapa...?napita..
Mara nyingi kitu cha Mungu hakionekani cool mbele ya umati wa devil. So uaminifu unachukuliwa kama ushamba fulani hivi, ilhali uchakaramu ndio ukisasa.
Unacho kidhurumu nafsi yako kutokana na kutokuwa mwaminifu ni kitu gani?????
Natumai unapofanya hivyo jibu utakuwa unalifahamu