Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
napita..
nisubiri twende wote
napita..
Mamlaka ya nafsi yako
nisubiri twende wote
Ngoja team bazazi waje huku.....kiufupi nasupport team uaminifu
kawaida ni kwamba huwezi kuwa mwaminifu kama huwezi kutenda kosa!
uongo?
na pia unauwezo wa kurudi temabazazi vile vile??Nilishafanya ubazazi nikaona ni ubatili.mtupu..sienjoy kudanyanya nimeamua.kumrudia Mungu wangu for da rest of my days...ubazazi sio dili
mith you tho much!!
Unaijua mamlaka ya nafsi yangu??
Hivi natakiwa kujibuje jamani?
I Miss U Too? ama Thank you?
Huwa inaniwia vigumu kwenye hizi sentesi.
Asante Bazazi Excel..Jifunze kuwa mwaminifu kwa nafsi yako then Kwa mwenzio inakuja auto.
aah! tatizo unaongea sana mamii! jibu halisi liko PM! kuja nikufunze how to dougie limbo dance!
hahahaaa..mi ntaleta mchango mambo yakijipaaa...hongera kwa maamuzinatamani sana nioe mwaka huu aisee!
natangaza nia!
natamani sana nioe mwaka huu aisee!
natangaza nia!
afu nimekuweka kwenye list ya shake well!Team B itapata pigo la kuondokewa na mwanachama wake.
asante mama! naanza shake well before use!hahahaaa..mi ntaleta mchango mambo yakijipaaa...hongera kwa maamuzi