nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
ukipingana na mwenyekiti jiandae kuitwa polis...
Tumuondoa unafiki kwenye chama. Sio jambo dogo hata kidogo, ndio ukomavu wenyewe wa kisiasa.ukweli unawaweka huru watu wa visasi mzimu wa Lowassa unawatafuna sana
si ni yeye aliyesema hio kazi ni ngumu sana. Au amepata maono ya kuwatawala wadanganyika ki urahisi.ya ngoswe tumuachine ngoswe mwenyewe , lakini kuna hatari mtu kujiongezea muda wa kutawala time will tell maana bwana yule kalewa madaraka
Waliomuunga zitto akina shinza VPSijaelewa hoja ya hao wanaoitwa "wasaliti" ndani ya CCM. Hivi kumuunga mkono mtu kwenye kura za maoni ni usaliti? Unapotangaza nia ya kugombea definatelly kuna watu watakuunga mkono na kukupigania. Baada ya kura za maoni kama jina lako halitapitishwa mtamuunga mkono aliyepitishwa. Sasa hapo usaliti unakujaje?
Mimi nilipotangaza nia ya ubunge Moshi (V) kuna watu waliniunga mkono, lakini baada ya mchakato wote kukamilika akapitishwa Mhe.Komu, na tukamuunga mkono. Nilifunga safari kutoka Songea kwenda Moshi kumuombea kura. Na waliokua wakiniunga mkono wakamssuport Komu. Sasa je Komu angewaita wasaliti kwa sababu hawakumuunga mkono kwenye kura za maoni?
Ninachokifahamu ni kwamba hao waliofukuzwa CCM walimuunga mkono Lowassa akiwa CCM wakati wa kura za maoni. Walipigana kuhakikisha jina la Lowassa linapitishwa kama jina la mgombea Urais kupitia CCM. Lakini baada ya Magufuli kupitishwa walimuunga mkono. Mfano mzuri ni Msukuma. Huyu alifunga safari kwa Helcopter hadi Arusha kumuunga mkono Lowassa wakati wa kutangaza nia. Lakini alipopitishwa JPM, akahamia upande wa JPM na kumnadi. Sasa mtu kama huyu anaitwaje msaliti?
Neno usaliti maana yake ni nini? Kwahiyo ndani ya CCM ni dhambi kuwaunga mkono wagombea wengine wakati wa kura za maoni? Yani unataka kwenye kura za maoni watu wote wamuunge mkono mtu mmoja tu. Hapo ndo itaonekana hamna usaliti?
Sasa naanza kuelewa kwanini 2020 wanataka apitishwe peke yake. Wakiriluhusu wagombea wengine, wafuasi wao wataitwa wasaliti tena.
Anyway, waliomuunga mkono Lowassa wameitwa wasaliti na kufukuzwa, vipi waliomuunga mkono Membe, Migiro, January etc. Hawa usaliti wao utajadiliwa lini na watafukuzwa lini? [HASHTAG]#TeamVisasi[/HASHTAG]
Msaliti shonza team zitto enzi zile vpHawajielewi hawa watu
Sijaelewa hoja ya hao wanaoitwa "wasaliti" ndani ya CCM. Hivi kumuunga mkono mtu kwenye kura za maoni ni usaliti? Unapotangaza nia ya kugombea definatelly kuna watu watakuunga mkono na kukupigania. Baada ya kura za maoni kama jina lako halitapitishwa mtamuunga mkono aliyepitishwa. Sasa hapo usaliti unakujaje?
Mimi nilipotangaza nia ya ubunge Moshi (V) kuna watu waliniunga mkono, lakini baada ya mchakato wote kukamilika akapitishwa Mhe.Komu, na tukamuunga mkono. Nilifunga safari kutoka Songea kwenda Moshi kumuombea kura. Na waliokua wakiniunga mkono wakamssuport Komu. Sasa je Komu angewaita wasaliti kwa sababu hawakumuunga mkono kwenye kura za maoni?
Ninachokifahamu ni kwamba hao waliofukuzwa CCM walimuunga mkono Lowassa akiwa CCM wakati wa kura za maoni. Walipigana kuhakikisha jina la Lowassa linapitishwa kama jina la mgombea Urais kupitia CCM. Lakini baada ya Magufuli kupitishwa walimuunga mkono. Mfano mzuri ni Msukuma. Huyu alifunga safari kwa Helcopter hadi Arusha kumuunga mkono Lowassa wakati wa kutangaza nia. Lakini alipopitishwa JPM, akahamia upande wa JPM na kumnadi. Sasa mtu kama huyu anaitwaje msaliti?
Neno usaliti maana yake ni nini? Kwahiyo ndani ya CCM ni dhambi kuwaunga mkono wagombea wengine wakati wa kura za maoni? Yani unataka kwenye kura za maoni watu wote wamuunge mkono mtu mmoja tu. Hapo ndo itaonekana hamna usaliti?
Sasa naanza kuelewa kwanini 2020 wanataka apitishwe peke yake. Wakiriluhusu wagombea wengine, wafuasi wao wataitwa wasaliti tena.
Anyway, waliomuunga mkono Lowassa wameitwa wasaliti na kufukuzwa, vipi waliomuunga mkono Membe, Migiro, January etc. Hawa usaliti wao utajadiliwa lini na watafukuzwa lini? [HASHTAG]#TeamVisasi[/HASHTAG]
Usiwe mvivu kutumia akili .Hao sio tu walionyesha mlengo tofauti na chama Bali wakati wa kampeni mchana walikuwa CCM na usiku wanapanga mikakati ya Ukawa kuchukua dola.Sijaelewa hoja ya hao wanaoitwa "wasaliti" ndani ya CCM. Hivi kumuunga mkono mtu kwenye kura za maoni ni usaliti? Unapotangaza nia ya kugombea definatelly kuna watu watakuunga mkono na kukupigania. Baada ya kura za maoni kama jina lako halitapitishwa mtamuunga mkono aliyepitishwa. Sasa hapo usaliti unakujaje?
Mimi nilipotangaza nia ya ubunge Moshi (V) kuna watu waliniunga mkono, lakini baada ya mchakato wote kukamilika akapitishwa Mhe.Komu, na tukamuunga mkono. Nilifunga safari kutoka Songea kwenda Moshi kumuombea kura. Na waliokua wakiniunga mkono wakamssuport Komu. Sasa je Komu angewaita wasaliti kwa sababu hawakumuunga mkono kwenye kura za maoni?
Ninachokifahamu ni kwamba hao waliofukuzwa CCM walimuunga mkono Lowassa akiwa CCM wakati wa kura za maoni. Walipigana kuhakikisha jina la Lowassa linapitishwa kama jina la mgombea Urais kupitia CCM. Lakini baada ya Magufuli kupitishwa walimuunga mkono. Mfano mzuri ni Msukuma. Huyu alifunga safari kwa Helcopter hadi Arusha kumuunga mkono Lowassa wakati wa kutangaza nia. Lakini alipopitishwa JPM, akahamia upande wa JPM na kumnadi. Sasa mtu kama huyu anaitwaje msaliti?
Neno usaliti maana yake ni nini? Kwahiyo ndani ya CCM ni dhambi kuwaunga mkono wagombea wengine wakati wa kura za maoni? Yani unataka kwenye kura za maoni watu wote wamuunge mkono mtu mmoja tu. Hapo ndo itaonekana hamna usaliti?
Sasa naanza kuelewa kwanini 2020 wanataka apitishwe peke yake. Wakiriluhusu wagombea wengine, wafuasi wao wataitwa wasaliti tena.
Anyway, waliomuunga mkono Lowassa wameitwa wasaliti na kufukuzwa, vipi waliomuunga mkono Membe, Migiro, January etc. Hawa usaliti wao utajadiliwa lini na watafukuzwa lini? [HASHTAG]#TeamVisasi[/HASHTAG]
kumchukua Arfi aliyegombea ubunge mpaka kwenye chama chenu leo ndio mnasema mnamkaribisha kweli ccm ni futuhiNyinyi mmefulia kweli, Wema mmemuona mtu wa maana. CCM wanatimua mpaka wanasiasa wenye majina na heshima nchini.
kwa ushaidi upiUsiwe mvivu kutumia akili .Hao sio tu walionyesha mlengo tofauti na chama Bali wakati wa kampeni mchana walikuwa CCM na usiku wanapanga mikakati ya Ukawa kuchukua dola.
Sio tu walisema wanaiman na Lowasa Bali walifanya harakati zaidi kuidondosha CCM lakini hawakufanikiwa.
Magi hapendi unafiki wamemwaga kwa matendo yao
Tatizo lenu kubwa ni kuwa hamna uongozi,mmebakia kutawaliwa na mtu mmoja hasiye fahamu siasa na mambo mengi. Kama walikuwa na makosa ambayo sijaona ilikuwa ni kuwavua uongozi na kupewa onyo si kufukuzwa.waliounga mkono membe, migiro, january, na wengineo isipokuwa lowasa, baada ya kupitishwa magufuli walikubali wakamuunga mkono na kuendelea na mwenendo mwema katika chama.
waliomuunga mkono lowasa hawakukubali kumuunga mkono magufuli, walibaki ccm kimkakati huku wakimuunga mkono lowasa na kuiba siri za chama ili kufanikisha ushindi wa lowasa huko alikokuwa chadema! hapo ndo dhana ya usaliti inapokuja! na msaliti unajua adhab yake, kama ingekuwa jeshini anauawa kabisa, ila kwenye chama anafukuzwa tu.
hata hivo sio wote waliomuunga mkono lowasa akiwa ccm wamefukuzwa! umeona kimbisa amebaki, inchimbi onyo kali, bashe bado yupo, msukuma yupo, na wengine wengi sana! walioendelea na usaliti ndo wametimuliwa.
sasa mleta mada acha kutumia hisia na kutafta huruma ya wasaliti! hii adhabu hata huko kwenu chadema ndo mlimpa zitto..
Wewe n mvivu kutumia akili yako kufanya fact finding.kukusaidia hao mambo yao yapo mitandaoni ama nukuu ya kauli zao kipindi cha teuzi na hatimaye kampenikwa ushaidi upi
.....Hicho ndicho kinachofuata kwanza kabisa "Team Membe out" halafu wanafuata ya "Hayati S6" halafu engine mpaka tubaki tutakaoimba
" mkulu ni wewe tu ,
Hakuna mwingine ,
Upite bila kupingwa,
Uwe wa maisha."
Futuhi ni nyinyi mnaowatunza mateja. Yule msomi wa Kigoma, na Machali tayari mmeshawaona hawafai. Tatizo lenu mnashindwa kutibu ugonjwa unaowasumbua, mnaishia kudhani kwamba kuna mtu kawaloga.kumchukua Arfi aliyegombea ubunge mpaka kwenye chama chenu leo ndio mnasema mnamkaribisha kweli ccm ni futuhi
Kuimba vile mbele ya Mwenyekiti wa Chama ilikuwa ni usaliti wa kiwango cha juu kabisa.Sijaelewa hoja ya hao wanaoitwa "wasaliti" ndani ya CCM. Hivi kumuunga mkono mtu kwenye kura za maoni ni usaliti? Unapotangaza nia ya kugombea definatelly kuna watu watakuunga mkono na kukupigania. Baada ya kura za maoni kama jina lako halitapitishwa mtamuunga mkono aliyepitishwa. Sasa hapo usaliti unakujaje?