Team Visasi: Waliomunga Mkono Lowassa Niwasaliti Je Waliomunga Mkono Migiro, Membe na January

ya ngoswe tumuachine ngoswe mwenyewe , lakini kuna hatari mtu kujiongezea muda wa kutawala time will tell maana bwana yule kalewa madaraka
si ni yeye aliyesema hio kazi ni ngumu sana. Au amepata maono ya kuwatawala wadanganyika ki urahisi.
 
Sijaelewa hoja ya hao wanaoitwa "wasaliti" ndani ya CCM. Hivi kumuunga mkono mtu kwenye kura za maoni ni usaliti? Unapotangaza nia ya kugombea definatelly kuna watu watakuunga mkono na kukupigania. Baada ya kura za maoni kama jina lako halitapitishwa mtamuunga mkono aliyepitishwa. Sasa hapo usaliti unakujaje?

Mimi nilipotangaza nia ya ubunge Moshi (V) kuna watu waliniunga mkono, lakini baada ya mchakato wote kukamilika akapitishwa Mhe.Komu, na tukamuunga mkono. Nilifunga safari kutoka Songea kwenda Moshi kumuombea kura. Na waliokua wakiniunga mkono wakamssuport Komu. Sasa je Komu angewaita wasaliti kwa sababu hawakumuunga mkono kwenye kura za maoni?

Ninachokifahamu ni kwamba hao waliofukuzwa CCM walimuunga mkono Lowassa akiwa CCM wakati wa kura za maoni. Walipigana kuhakikisha jina la Lowassa linapitishwa kama jina la mgombea Urais kupitia CCM. Lakini baada ya Magufuli kupitishwa walimuunga mkono. Mfano mzuri ni Msukuma. Huyu alifunga safari kwa Helcopter hadi Arusha kumuunga mkono Lowassa wakati wa kutangaza nia. Lakini alipopitishwa JPM, akahamia upande wa JPM na kumnadi. Sasa mtu kama huyu anaitwaje msaliti?

Neno usaliti maana yake ni nini? Kwahiyo ndani ya CCM ni dhambi kuwaunga mkono wagombea wengine wakati wa kura za maoni? Yani unataka kwenye kura za maoni watu wote wamuunge mkono mtu mmoja tu. Hapo ndo itaonekana hamna usaliti?

Sasa naanza kuelewa kwanini 2020 wanataka apitishwe peke yake. Wakiriluhusu wagombea wengine, wafuasi wao wataitwa wasaliti tena.

Anyway, waliomuunga mkono Lowassa wameitwa wasaliti na kufukuzwa, vipi waliomuunga mkono Membe, Migiro, January etc. Hawa usaliti wao utajadiliwa lini na watafukuzwa lini? [HASHTAG]#TeamVisasi[/HASHTAG]
Waliomuunga zitto akina shinza VP
 
Hawajielewi hawa watu
Msaliti shonza team zitto enzi zile vp

Usiwe mvivu kutumia akili .Hao sio tu walionyesha mlengo tofauti na chama Bali wakati wa kampeni mchana walikuwa CCM na usiku wanapanga mikakati ya Ukawa kuchukua dola.

Sio tu walisema wanaiman na Lowasa Bali walifanya harakati zaidi kuidondosha CCM lakini hawakufanikiwa.

Magi hapendi unafiki wamemwaga kwa matendo yao
 
kwa ushaidi upi
 
waliounga mkono membe, migiro, january, na wengineo isipokuwa lowasa, baada ya kupitishwa magufuli walikubali wakamuunga mkono na kuendelea na mwenendo mwema katika chama.

waliomuunga mkono lowasa hawakukubali kumuunga mkono magufuli, walibaki ccm kimkakati huku wakimuunga mkono lowasa na kuiba siri za chama ili kufanikisha ushindi wa lowasa huko alikokuwa chadema! hapo ndo dhana ya usaliti inapokuja! na msaliti unajua adhab yake, kama ingekuwa jeshini anauawa kabisa, ila kwenye chama anafukuzwa tu.

hata hivo sio wote waliomuunga mkono lowasa akiwa ccm wamefukuzwa! umeona kimbisa amebaki, inchimbi onyo kali, bashe bado yupo, msukuma yupo, na wengine wengi sana! walioendelea na usaliti ndo wametimuliwa.

sasa mleta mada acha kutumia hisia na kutafta huruma ya wasaliti! hii adhabu hata huko kwenu chadema ndo mlimpa zitto..
Tatizo lenu kubwa ni kuwa hamna uongozi,mmebakia kutawaliwa na mtu mmoja hasiye fahamu siasa na mambo mengi. Kama walikuwa na makosa ambayo sijaona ilikuwa ni kuwavua uongozi na kupewa onyo si kufukuzwa.
 
Nimeamini Lowasa ana nguvu kweli kweli bado tu anawasumbua teheeeeeeeeeee
 
G
kwa ushaidi upi
Wewe n mvivu kutumia akili yako kufanya fact finding.kukusaidia hao mambo yao yapo mitandaoni ama nukuu ya kauli zao kipindi cha teuzi na hatimaye kampeni

Mengine hutopata mtandaoni kwakuwa ni ajenda za vikao vya chama na kufikia maamuzi kama hayo.Pamoja na yote wajumbe wa kamati kuu hawawezi kurupuka na pia lazima wapewe nafasi kujieleza

Hebe tumia basi sehemu ya akili yako kufanya fact findings na angalau kujaribu kuyaelewa mambo kwanza kabla hujayatapika hadharani

Naona unabebwa na your personal opinions zaidi au unaathiriwa na siasa nyepesi za kibaguzi kupinga kila kinachotokea CCM
 
Hicho ndicho kinachofuata kwanza kabisa "Team Membe out" halafu wanafuata ya "Hayati S6" halafu engine mpaka tubaki tutakaoimba
" mkulu ni wewe tu ,
Hakuna mwingine ,
Upite bila kupingwa,
Uwe wa maisha."
.....
.....hahaha hatareee
 
Akili zenu inabidi kupimwa lini Sophia au Madabida kampinga Mwenyekiti,kosa lao ni usaliti na adhabu yake inajulikana
 
sababu nyengine ni kuwa akina membe hawakwenda upinzani, nao wafuasi wao wange athirika kama wange hamia vyama vingine.
 
kumchukua Arfi aliyegombea ubunge mpaka kwenye chama chenu leo ndio mnasema mnamkaribisha kweli ccm ni futuhi
Futuhi ni nyinyi mnaowatunza mateja. Yule msomi wa Kigoma, na Machali tayari mmeshawaona hawafai. Tatizo lenu mnashindwa kutibu ugonjwa unaowasumbua, mnaishia kudhani kwamba kuna mtu kawaloga.
 
Sijaelewa hoja ya hao wanaoitwa "wasaliti" ndani ya CCM. Hivi kumuunga mkono mtu kwenye kura za maoni ni usaliti? Unapotangaza nia ya kugombea definatelly kuna watu watakuunga mkono na kukupigania. Baada ya kura za maoni kama jina lako halitapitishwa mtamuunga mkono aliyepitishwa. Sasa hapo usaliti unakujaje?

Mimi nilipotangaza nia ya ubunge Moshi (V) kuna watu waliniunga mkono, lakini baada ya mchakato wote kukamilika akapitishwa Mhe.Komu, na tukamuunga mkono. Nilifunga safari kutoka Songea kwenda Moshi kumuombea kura. Na waliokua wakiniunga mkono wakamssuport Komu. Sasa je Komu angewaita wasaliti kwa sababu hawakumuunga mkono kwenye kura za maoni?

Ninachokifahamu ni kwamba hao waliofukuzwa CCM walimuunga mkono Lowassa akiwa CCM wakati wa kura za maoni. Walipigana kuhakikisha jina la Lowassa linapitishwa kama jina la mgombea Urais kupitia CCM. Lakini baada ya Magufuli kupitishwa walimuunga mkono. Mfano mzuri ni Msukuma. Huyu alifunga safari kwa Helcopter hadi Arusha kumuunga mkono Lowassa wakati wa kutangaza nia. Lakini alipopitishwa JPM, akahamia upande wa JPM na kumnadi. Sasa mtu kama huyu anaitwaje msaliti?

Neno usaliti maana yake ni nini? Kwahiyo ndani ya CCM ni dhambi kuwaunga mkono wagombea wengine wakati wa kura za maoni? Yani unataka kwenye kura za maoni watu wote wamuunge mkono mtu mmoja tu. Hapo ndo itaonekana hamna usaliti?

Sasa naanza kuelewa kwanini 2020 wanataka apitishwe peke yake. Wakiriluhusu wagombea wengine, wafuasi wao wataitwa wasaliti tena.

Anyway, waliomuunga mkono Lowassa wameitwa wasaliti na kufukuzwa, vipi waliomuunga mkono Membe, Migiro, January etc. Hawa usaliti wao utajadiliwa lini na watafukuzwa lini? [HASHTAG]#TeamVisasi[/HASHTAG]
Kuimba vile mbele ya Mwenyekiti wa Chama ilikuwa ni usaliti wa kiwango cha juu kabisa.

Hawakuimba kuhusu Member,Migiro wala January ila waliimba kuhusu Imani kwa Mh Lowassa.

Hapo ni kukigawa Chama.

Ambacho wangefanya ni kuanzisha mjadala ndani ya kikao ambao haikuwa ajenda.
 
Back
Top Bottom