Team tecno mpoooo

Ya kwangu ni certified.

Screenshot_20180327-101810.png
 
Wadau mtu yeyote mwenye simu ya Tecno naomba aende play store alaf aende settings, kisha aangalie chini kabisa aone kama simu yake imeandikwa Certified au Kama imeandikwa *Uncertified* kuna hatari ya simu hiyo kuzuiwa kutumia Google Services.
Team tecno kaeni chonjo fagio la chuma linakujaView attachment 725180
Ishu ya Certification haina maana kwamba simu zitazimwa kama ilivyokuwa kipindi kile cha kuzima simu fake hapa bongo.
Sim zetu zitapiga kazi kama kawaida hata bila Google play services...by the way mm now situmii hizo services na sioni ninachokosa.
 
Halafu mtoa post bhna,,umesoma tangazo lao vzuri?wamesema cm zitakazoongoza kuathiriwa kwa kuto tumia google service ni HUAWEI PHONES ndo wanahatar hyo
 
Back
Top Bottom