Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,708
39,788
kuna msg nyingi zinasambaa whatsapp na hata humu jukwaani kwamba simu ambazo hazijakuwa certified na google kutumia service zake zitafungiwa hapo baadae. hii habari ni ya kweli, muda mrefu Google amewaonya watengeneza simu lakini naona wengi hawatekelezi hili, simu zinakuwa hazijatestiwa wao wanazieka tu google service na kuziuza. mfano wa simu zitakazoathirika ni kama

-umenunua simu china haina playstore ukaweka mwenyewe
-simu za kichina zinazotengenezwa kimagumashi
-Hata makampuni makubwa ambayo hayajafuata njia sahihi za google yapo kwenye huu mkumbo.

Jinsi ya kujua kama simu yako ipo certified utafungua playstore kisha utaclick juu kwenye vimistari na kuchagua setting kisha utashuka hadi chini kwenye device certification
img-20180325-wa0048-jpg.725180

kwa maelezo zaidi hapa
Team tecno mpoooo

uzi huu sasa utatoa solution ya kitu cha kufanya ku certify simu yako incase hata zikifungiwa kutumia service za google usalimike.

1. utatakiwa ujue android device id ya simu yako. unaweza ukaipata kwa:
-kudownload hii app
Device ID – Приложения за Android в Google Play
ukisha download fungua utaiona id ya simu.
-kubonyeza ##8255## (si simu zote zinakubali)
-kwenda setting kisha about kisha status (unaweza usiikute)

2. ukisha pata android id ingia hii website ya google kui whitelist simu yako.

Sign in - Google Accounts

updates
baadhi ya site zinasema inayotakiwa ni Google service framework id na sio Device iD kwenye ile app yetu ni ya pili chini ya device id

na wengine wanasema bado google hajaanza kupokea i
hizo id. ila sababu ni official toka kwa google wenyewe lets hope itaanza kufanya kazi soon

kwa maelezo zaidi pitieni hii link ina maelezo yaliyoshiba compare na wengine.

Google confirms it's blocking Google Apps on "uncertified" Android devices - here's how to deal with it
 
Hii ni Samsung s8. Ila ipo uncertified. Nachojua knox is trigger coz ipo rooted. Je hii nayo ni sababu ya kuifanya iwe uncertified.
Screenshot_20180327-011009_Google%20Play%20Store.jpg
 
kuna msg nyingi zinasambaa whatsapp na hata humu jukwaani kwamba simu ambazo hazijakuwa certified na google kutumia service zake zitafungiwa hapo baadae. hii habari ni ya kweli, muda mrefu Google amewaonya watengeneza simu lakini naona wengi hawatekelezi hili, simu zinakuwa hazijatestiwa wao wanazieka tu google service na kuziuza. mfano wa simu zitakazoathirika ni kama

-umenunua simu china haina playstore ukaweka mwenyewe
-simu za kichina zinazotengenezwa kimagumashi
-Hata makampuni makubwa ambayo hayajafuata njia sahihi za google yapo kwenye huu mkumbo.

Jinsi ya kujua kama simu yako ipo certified utafungua playstore kisha utaclick juu kwenye vimistari na kuchagua setting kisha utashuka hadi chini kwenye device certification
img-20180325-wa0048-jpg.725180

kwa maelezo zaidi hapa
Team tecno mpoooo

uzi huu sasa utatoa solution ya kitu cha kufanya ku certify simu yako incase hata zikifungiwa kutumia service za google usalimike.

1. utatakiwa ujue android device id ya simu yako. unaweza ukaipata kwa:
-kudownload hii app
Device ID – Приложения за Android в Google Play
ukisha download fungua utaiona id ya simu.
-kubonyeza ##8255## (si simu zote zinakubali)
-kwenda setting kisha about kisha status (unaweza usiikute)

2. ukisha pata android id ingia hii website ya google kui whitelist simu yako.

Sign in - Google Accounts
Nimefuata procedures kama ulivyoandika na Android Id nimeipata ila nikiiweka pale sehemu ya kuregister then nabonyeza "register" hairespond, shida ni nini hapo mkuu?
 
Back
Top Bottom