Team tecno mpoooo

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,850
803
Wadau mtu yeyote mwenye simu ya Tecno naomba aende play store alaf aende settings, kisha aangalie chini kabisa aone kama simu yake imeandikwa Certified au Kama imeandikwa *Uncertified* kuna hatari ya simu hiyo kuzuiwa kutumia Google Services.
Team tecno kaeni chonjo fagio la chuma linakuja
IMG-20180325-WA0048.jpg
 
kama chanzo cha habari hii umeipata google play store hakuna sehemu waliyosema uko hatarini kufungiwa google service. porojo tu
 
mm siiipati tena Play store
nili Unistall baada ya kuikosa kwa masaa
sasa nikitaka kuiReinstall haitaki

Chief-Mkwawa
niende wapi
Download au
 
Back
Top Bottom