Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

Hakika tumaini la MAGEUZI lipo tumuombe HALLAH mwenye neema na rehema inawezekana kuwa na Tanzania mpya na AFRIKA huru kiuchumi, kidemocrasia, sayansi na tecknolojia na fikira za watu wetu.
 
Unajuwa mbowe na wewe mmechangia kujenga barabara..makomea ni mnyapara tu ila mimi na wewe kama una gari kiberiti ukinunua umelipa kodi

Kumbe! sasa jimboni kwa lissu kodi zinaenda wapi? mbona maji hakuna.
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.
 
Hongera chadema kumnadi mgombea urais Lembeli na mgombea mwenza Ester Bulaya, team nzima mnakimbizana kama watoto wa darasa la kwanza wanawahi foleni ya uji.

Nilishakukataza tabia ya kutema dawa, hebu meza dawa kwa afya yako.
 
3km/l???
What happened to the white thing in your head you call a brain!
 
Hizi toyo na sanlg zilizochoka ndo zitembee km75? mafuta mnawajazia? watawachokeni mwishowe juzi lissu alikuwepo leo tena mnakuja tena, nendeni na majimboni kwenu sasa.

Tulia wewe buku saba.
 
Haya bwana, mbowe keshajengewa barabara ya lami, tena magufuli aliisimamia mwenyewe, anawachoreni tu, mnaogopa kwenda majimboni kwenu mtadaiwa maji barabara zahanati na madawati, mnashinda mwanza na kahama kwenye maji barabara za lami na shule ya sekondari kila kijiji.

Hujui usemalo Mungu akusamehe
 
3kms/litre ni uongo, full tank unatembea umbali tajwa bila hofu ya kuishiwa mafuta. Hadithi yako inatufundisha nini
 
CHADEMA wamepanga kuandamana kwa bodaboda kutoka Kahama - Tinde - Kahama umbali wa km 150 kwa lengo lisilojulikana, bodaboda nyingi ni nzee zinatumia mafuta litre moja kwa km tatu hivyo kila pikipiki itatumia litre 50 sawa na shs 150,000/= ambazo waendesha bodaboda hawana labda wafadhiliwe na chama.

Itabidi kila pikipiki iwe na dumu mbili za litre 20 kila moja kwani hakuna kituo cha mafuta zaidi ya isaka na kahama na kila pikipiki inauwezo wa kujazwa mafuta litre nane tu.

Pikipiki hizi sio sport na hazina rejeta hivyo huhitaji kupozwa kwa masaa matatu kila inapotembea km 15 kwa hiyo safari hii itachukua siku tatu au nne huku shughuli za kiuchumi zikiwa zimesimama kwa msongamano wa watu na magari, hii itasababisha watoto kuwa katika hatari ya kugongwa na magari hili lilitokea katika uchaguzi mdogo wa Igunga mtoto aligongwa na fuso na kufa palepale.

Kwa mtizamo huu nashindwa kuelewa viongozi wa CHADEMA ni watu wa namna gani, safari hii akifa mtu mbowe lazima uwajibike.

Akili matope. Nenda kwanza shule.
 
Kamanda aliyesajiliwa hivi karibuni na team ya ushindi ya chadema,leo ndo anaelekea jimboni kwake Kahama.

Mapokezi makubwa yameanzia ktk mji mdogo wa Kagongwa.

Ni mapokezi makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ktk mji huo mdogo wa kagongwa.

Jitihada za kuweka picha zinaendelea na tutaziweka hapa muda mfupi ujao..!
 
we kweli ni shida, pikipiki itumie lita moja km 3!!!wakati watu wanatoka mbalali kuja dodoma, hamkujiuliza leo umbali wa km 150,mnawashwa,
 
Back
Top Bottom