Team michepuko inawahusu

Team michepuko inawahusu

Kweli kabisa you can ask such a question??? Huelewi maana ya michepuko??? Eti nikuelezee reasons for michepuko!! Ebu tuachage utoto usiokuwa na maana jamani!!

usitoke povu kiasi hicho.. mwalimu anapoeleza definition ya economics kwa wanafunzi wa masters haimaanishi kwamba walikuwa hawajui maana ya economics, no!

introduction ni muhimu sana kwa sababu JF inapokea wageni wengi mno kwa siku.. trust me in that..

kwa mafunzo tu kwa wengine, nilikuomba muongozo wa sababu za michepuko, umetoka povu..

sasa nani alaumiwe kama mtoa mada kakasirika na kupanik?
 
Aisee tuacheni michepuko turudini njia kuu.

Michepuko sio diliii!
 
Lile tangazo ni zuri ila lugha iliyotumika siyo sawa tunazidi kukididimiza kiswahili bila sababu nilugha za kifacebook lugha za vijana ambao wengi hawapo kwenye ndoa

Nadhani wanaitumia lugha ili kuwafikia walengwa.
 
Michepuko dill yani niache kuchuliwa kuogeshwa kwa maji yenye viungo??kisa tangazo! Na rudi home nakuta umevimba kama umetiwa ndimu...kisa? Mwambie wa kwako aache michepuko siyo wawengine.

Michepuko hoyeeeeee!
 
usitoke povu kiasi hicho.. mwalimu anapoeleza definition ya economics kwa wanafunzi wa masters haimaanishi kwamba walikuwa hawajui maana ya economics, no!

introduction ni muhimu sana kwa sababu JF inapokea wageni wengi mno kwa siku.. trust me in that..

kwa mafunzo tu kwa wengine, nilikuomba muongozo wa sababu za michepuko, umetoka povu..

sasa nani alaumiwe kama mtoa mada kakasirika na kupanik?

baasi babaa msamehe bure!
 
Tangazo limetulia,kama lile la fundi magari,aaaaaaaaah,
mama anakagua simu,anaanza
1.fundi bomba
2.Fundi nyumba
3.Fundi .....
4.Fundi magari,
hahahahaaa kumbe wote wale michepuko
 
Lile tangazo ni zuri ila lugha iliyotumika siyo sawa tunazidi kukididimiza kiswahili bila sababu za msingi nilugha za kifacebook lugha za vijana ambao wengi hawapo kwenye ndoa







Kiswahili chake kilitakiwa kiweje mkuu? Ningependa kufahamu lugha yetu kwa undani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom