Team michepuko inawahusu

Team michepuko inawahusu

Last edited by a moderator:
Kwani wanatakaga kuambiwa? Wakisikia lile tangazo basi utasikia miluzi kibao ili mradi wasisikie!

Watu hawaogopi maneno ya Mungu sembuse kitangazo kilichowekwa na wazinzi wenzetu watafuta mikwanja?

Mchepuko ndo mpango mzima, njia kuu foleni.
 
sikiliza kijana, usiponde tatizo kama hujui roots za tatizo zilipo! mimi si kwamba nakupinga oh sijui tuchepuke, no!

jambo la msingi hapa, define michepuko, elezea origin ya michepuko, elaborate reasons for michepuko, then sema michepuko iachwe vipi!

come back and answer the questions!
Zinduna! ahsante kwa kuniamsha na kibaridi hiki! lolz! one day tutambeleana kulaleki!

Loh!!! Kweli Zinduna hajakosea cheki TEAMbazaz inavyojieleza
 
Last edited by a moderator:
Karibu kwenye chama letu. Hutajuta. Ni full kujirusha kwa maraha. Ukimwi ni ajali kama ajali nyingine tu. Bora upate ngoma kwa burudani kuliko kwa bht mby.

Ha ha ha!!!!! Asprin kumbe maini huwa hayazeeki mana najua wewe ni babu
 
Last edited by a moderator:
mi nashangaa sana, wanaongelea Michepuko mbona Wapombekaji hawawasemi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom