teachers junction;8994254 said:1.Mbagala mwisho.
Englisha and Kiswahili.
Nafasi mbili.
wawe ni Graduate
salary not less than 650,000/= to 700,000/=
2.Mbagala mwisho.
History and Geography
Diploma nafasi nne
salary not less than 500,000/=
Graduate nafasi mbili.
salary not less than 650,000/=
3.Kongowe Mbagala.
English and Kiswahili.
Graduate nafasi mbili.
Salary not less than 650,000/=
4.Kongowe mbagala.
Physics and Mathematics
Graduate nafasi mbili
Salary not less than 670,000/=
5.Kongowe mbagala.
physics and Mathematics
Diploma nafasi tatu.
Salary not less than 550,000/=
6.Kinyerezi-Tabata
Awe ni kiswahili na somo lolote.
Awe Diploma au Graduate
Shule ni Primary.
Salary itategemea uwezo na Level ya Elimu.
Nb.
Mwisho wa order zote ni jumaa Pili ya tarehe:- 23,03,2014.
Tafadhali jitahidi ufike siku mbili au moja kabla, kwenye ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa Dar es salaam.
jumaamosi tunafungua saa tatu asubh hadi saa sita mchana.
jumaa pili kwa ahadi maalum ni saa tatu asbh to nane mchana.
0753-810857
Mungu atuongoze kwa kila jambo.
hiv jaman wana jf tusaidiane,hawa jamaa ni wakwel au wanakula hela zetu tu.naamn humu wapo watu walikutana nao tupen feedback jaman.
teachers junction;8546362 said:Huenda unadhani ni hivyo kwa kuwa Kola wazo Lina thamani yake.
Lakini hakuna ukweli.
Tunakata 8-20%.
Karibu
kwa muda gani au ndo mnakuwa manyonya damu za walimu kila siku?
teachers junction;9006327 said:Deepsea wacha kutumia maneno ya shombo.
nenda kwenye profesional yako.
teachers‘ junction;9006363 said:1.Physics and Mathematics
Graduate.
700,000/= to 720,000/=
2.English and Kiswahil.
Graduate.
600,000/= to 650,000/=
mwisho jumaapili tarehe
23,03,2014
0753-810857
teachers junction;9003250 said:Pole mkubwa kwa hofu ingawa inaonekana umechelewa kutujua.
watu walishakuja kuprove na wakaleta ushuhuda hapa jamvini.
ila wakati wakikujibu mimi natamani na wewe uwe shuhuda mzuri wa wana jf.
Fanya hvi.
Wewe ni mwalimu?
kama jibu ndiyo.
je katika post tulizotangaza kuna sehemu una fit?
kama jibu ndiyo.
Andaa cv,copiez za vyeti picha tatu.
kama huna pesa ya usajili wewe njoo utailipa baadae.
Kisha njoo magomeni mapipa kabla ya jmoc ili usajiliwe na jpil ufanyiwe interview kisha monday ukafanye interview then jnne watu waone ushuhuda wako hapa jamvini.
Hakikisha unajiamin na unajua vizuri kufundisha.
karibu
Niko dar, nataka kufundisha somo la Economics kwenye shule yoyote parttime.Thanks contact 0713196055
na mimi je nmerply hapo juu...