Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 413
Asannten kwa huduma zenu
teachers junction;8289427 said:Habari wana jf.
kwa walimu walljjsajili alokuwa tayari kufanya na Agape history,geo and kiswahili.
Marian bagamoyo science,Social study and english.
Tanga biology,physics and chemistry.
Arusha prime kiswahili,chemistry and biology.
kwa wasojisaliji wenye utayari mnakarkbishwa lamoja na form six alosoma pcm,pcb,cba,cbg na coz nyingne za science.
+255-753810857
mimi form six nimesoma pcb naweza pata nafasi npo tayari 0764649249
teachers junction;8035047 said:Habari.
kuna nafasi tatu.
1.mwalimu wa biology nafas 2
kongowe mzinga.
offer not less 550,000/=
2.mwalimu wa english.
kongowe mwisho
offer not less 700,000/=
3.physics and civics.
kongowe mwisho.
offer not less than 670,000/=
zote ni Olevel.
mwisho tarehe j5 ya tarehe 11/12/2013.
Nyingine ziko kimara mwisho.
Olevel na Primary.
tutazitangaza jumaatano
11/12/2013.
+255-753810857.
Teachers Junction
Natafuta kazi ni mwl wa somo la Bilojia.
teachers junction;8350895 said:1.Bunju mkuu wa shule ya primary awe na diploma.
awe amewah kuwa mkuu na mtaaluma.
2.bungu diploma nafasi mbili, grade A nafasi tatu na awali nafasi mbili.
kongowe mbagala form six alosoma pcm.
kaa tayari walimu zaidi ya saba kongowe kibaha unalipiwa nyumba .
+255-753810857
Natafuta kazi ni mwl wa somo la Bilojia.
Office yako ipo wapi t. junction
tatizo ni uhaba wa walimu ndo maana hata wasio na proffesion ya ualimuwanapata mwanya wa ajira,..kama unaongea ukwel waliokufundisha chuo kikuu wote wana taaluma ualimu?..jiulize kw nn fursa hiz hazipo kwenye sekta nyingine kama afya???mind you, teaching is a profession, anyone cannot be a teacher. A teacher should go a series of training rather than academics. Usidhalilishe taaluma. ''eti wasiokuwa walimu bali wamewahi kufundisha'' hata mzazi ni mwalimu basi. To hell teacher's junction