Teach the World - Lyrics (Lucky Dube)

Teach the World - Lyrics (Lucky Dube)

Jamani sasa na mie ngoja nionyeshe hisia zangu jinsi nilivyo dowload album za Lucky Dube na wasanii wengine wa Reggae. These guys are making sense. look now guys

Capture.JPG
 
Lucky Dube alikuwa mzalendo wa ukweli sana. Thanks mkuu Invisible.
 
Mkuu,

Muwe mnanunua NYIMBO zao hata kidogo basi maana msipofanya hivyo, watakula POLISI.

Nunueni ITUNES, CD Original na siyo za Wahindi, DVD zao nk ili kuwainulia kipato chao.

Pia kama unaishi USA, EUROPE na nchi zilizoendelea, angalia sana sana maana Watakufunga sasa hivi. Kwa sheria walizopitishia juzijuzi za HAKI YA MWENYE MALI, basi usishangae siku moja wanakutumia Check ya Maelfu ya EURO ulipe au ukafie jela ukishindwa kulipa.

Mama mmoja German alishangaa wanamletea Check ya Euro 40,000 na kitu na wakamwambia ni kwa kufanya download ya miziki na film. Hivyo, haya mambo kuweni makini sana. Kama upo Tanzania au Africa kwa ujumla, basi wee kula tu bata maana huku kwetu bado hawajaanza kucontrol.
Jamani sasa na mie ngoja nionyeshe hisia zangu jinsi nilivyo dowload album za Lucky Dube na wasanii wengine wa Reggae. These guys are making sense. look now guys

View attachment 52560
 
Mkuu Invisible umenikumbusha mbali sana. Huyu jamaa yaani, ngoja niishie hapa ............
Dah, kumbe hata Preta ni member!?
RIP Luky Dube.
 
Mkuu,

Muwe mnanunua NYIMBO zao hata kidogo basi maana msipofanya hivyo, watakula POLISI.

Nunueni ITUNES, CD Original na siyo za Wahindi, DVD zao nk ili kuwainulia kipato chao.

Pia kama unaishi USA, EUROPE na nchi zilizoendelea, angalia sana sana maana Watakufunga sasa hivi. Kwa sheria walizopitishia juzijuzi za HAKI YA MWENYE MALI, basi usishangae siku moja wanakutumia Check ya Maelfu ya EURO ulipe au ukafie jela ukishindwa kulipa.

Mama mmoja German alishangaa wanamletea Check ya Euro 40,000 na kitu na wakamwambia ni kwa kufanya download ya miziki na film. Hivyo, haya mambo kuweni makini sana. Kama upo Tanzania au Africa kwa ujumla, basi wee kula tu bata maana huku kwetu bado hawajaanza kucontrol.

Mkuu

Nashukuru sana mkuu ni hali ya kutofahamu. Ngoja nijiunge Itunes ninunue hizi albums.

Sure these guys need donations.
 
Invisible

Thanks a lot for this wonderful piece of art.... Nina bahati ya kuwa na album za huyu jamaa, and the inspiration came from a south african colleague who told me in 2005 kwamba one day Lucky's words will come back!!!

I wish tungekua na Radio au TV programs za uamsho na kusaidiana kujua where we stand.... nina nyimbo moja inaitwa MONSTER.... INAZUNGUMZIA ONE MOSNTER DIES, ANOTHER ONE COMES AROUND

If you seriously look into our country situation hilo ndilo linatokea; tulikua na wale wahindi waliotupa pesa pale Sayansi enzi za sokoine, tukana na wauza unga kwa kutumia michezo, wakaja wale wa mikonge, yakahamia ikulu na sasa yameweka kambi

we live int he world/country where walio juu wanazaa monsters kwa kupokezana....

we have forgotten about rostam, we have forgotten about wizi wa madini, we are forgetting about richmond etc. now we have a new monster... watendaji wetu na mawaziri miungu watu!!! under the protection of God knows who

Inasikitisha but as soldiers, we must match on kwani baadhi ya wafanyayo mabaya, ni kwa kukosa jinsi ya kuondoka kwenye mfumo tight!!
 
Last edited by a moderator:
Check pia EBAY na SECONDSPIN, waweza kuzipata kwa bei nzuri sana.

Itakuwa safi kwa usalama wa data zako za Bank kama utatumia PAYPAL. All the best.

Ngoja nicheck na Ebay cause ndo nimeizoea pia ngoja niwaangalie hao Secondspin. YEP I do have a PAYPAL account and u r right about money safety with paypal. I have got many refunds through paypal cause they are always reversing payment for unusual transactions till you verify.
 
Hizi nyimbo za ganja ganja zinazoletwa na invisible sizifagilii. Hapa ndo nmejua Invisible aliutumiaje ujana wake alipokuwa o-level. bila shaka madaftali yalijaa nyimbo za rege. hahahaaa....!!!, Invisible umenikumbusha enzi za KUBER.
 
Last edited by a moderator:
Invisible

Thanks a lot for this wonderful piece of art.... Nina bahati ya kuwa na album za huyu jamaa, and the inspiration came from a south african colleague who told me in 2005 kwamba one day Lucky's words will come back!!!

I wish tungekua na Radio au TV programs za uamsho na kusaidiana kujua where we stand.... nina nyimbo moja inaitwa MONSTER.... INAZUNGUMZIA ONE MOSNTER DIES, ANOTHER ONE COMES AROUND

If you seriously look into our country situation hilo ndilo linatokea; tulikua na wale wahindi waliotupa pesa pale Sayansi enzi za sokoine, tukana na wauza unga kwa kutumia michezo, wakaja wale wa mikonge, yakahamia ikulu na sasa yameweka kambi

we live int he world/country where walio juu wanazaa monsters kwa kupokezana....

we have forgotten about rostam, we have forgotten about wizi wa madini, we are forgetting about richmond etc. now we have a new monster... watendaji wetu na mawaziri miungu watu!!! under the protection of God knows who

Inasikitisha but as soldiers, we must match on kwani baadhi ya wafanyayo mabaya, ni kwa kukosa jinsi ya kuondoka kwenye mfumo tight!!

Mkuu u have made an extra ordinary post. We r matching
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Timing,

Hii CD Album ya RESPECT kwa kweli nayo ni nzuri sana. Hata huu wimbo wa Money Money Money wa Lucky Dube, na wenyewe kama vile unazungumzia Tanzania kwa sasa kuwa kila kitu ni kununua.

Too sad. Lucky Dube - Money Money Money - YouTube

Mie wimbo wangu huu hapa kwa ajili ya Ma-Vuvuzela:

Don't close the door behind you
You might wanna go through it someday
Don't burn that bridge
You might wanna cross it someday
Your best friends today
Could be your worst enemies to morrow
Your worst enemies today
Could be your best friends tomorrow
Don't burn the bridge
Don't cross the door

Chorus
And if you can't say something good about somebody
Oh shut up
And if you can't say something about somebody
Just shut up.

Ungafakaz' amanga ngomakhelwane wakho
Ungakhulumi I'ndaba ezingafuni wena
Vul'umlomo wakho ufak'ipapa lakho
Vul'umlomo wakho ufak'inyama yakho
Ungakhulumi'ndaba uxabanis'abantu
Uma uthanda futhi ufak'amachips
Amagwinya wona uwashiya nobani?

Don't say those words that will hurt people
Don't do those things that will hurt people
The things you say today
Will come and haunt you tomorrow
The things you do today
Will come and haunt you tomorrow
Do unto others as you would like them do unto you

And if you can't say something good about somebody
Oh shut up
And if you can't say something good about somebody
Just shut up

Reap
Ungafakaz'amanga...
Till fade
 
Last edited by a moderator:
Ukombozi nauona kabisa mkuu Invisible yaani hata kazi kwa leo sifanyi tena natafakari hizi jumbe zilizo letwa hapa JF.
Magogoni huwezi kuwa tag hizi nyimbo?
 
nashukuru. hizi nyimbo za reggae uwa ni living songs hata waimbaji wake wakifa huwa zinaendelea kuimbwa.madhalani bob amekufa 5 februry 1982 lakini bado nyimbo zake zina hisia kwa watu wa rika lote sijua ni kwa sasa hawa watu wanatumiaga ule mmea wa asili au ni kudra za Muumba mie sijui ila nyimbo hizi huwa zina message kali kweli kweli.
 
Mkuu u have made an extra ordinary post. We r matching

yeah.... we need some isnpiration after all that is happening around mkuu

Sometimes one feels like crying kabisa!!!!! Just think of our children and grand children!!!
 
Timing,

Hii CD Album ya RESPECT kwa kweli nayo ni nzuri sana. Hata huu wimbo wa Money Money Money wa Lucky Dube, na wenyewe kama vile unazungumzia Tanzania kwa sasa kuwa kila kitu ni kununua.

Too sad. Lucky Dube - Money Money Money - YouTube

Mie wimbo wangu huu hapa kwa ajili ya Ma-Vuvuzela:
Mkuu.... we acha tu!!! wee need these type of threads kupata some inspirations, the mood is quite peressing

Ila gongo la invible limenikumbusha mbali aisee....
 
Back
Top Bottom