donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
- Thread starter
- #61
Mbona kashfa Tena mkuu? Acheni tu Nile bata zama za kale nshaenyekaHili toto la mama kijana
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mbona kashfa Tena mkuu? Acheni tu Nile bata zama za kale nshaenyekaHili toto la mama kijana
Sikimbii mkuuJana kanikimbia leo nataka nimpeleke msalato nahisi atakimbia tena
Napeleka kila kitu mkuuNgoja aje nimlishe UTUMBO wa mbuzi
Mkuu, self appreciation sio utoto wa mama. Hela zenyewe tunatafuta kwanguvu kwanini usienjoy[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huyu dogo ni mtoto wa mama kijana
Mimi baadae kidogo nitatokeaDada nshafika Msalato na simuoniView attachment 1976282View attachment 1976283
We kimbia tu[emoji57][emoji57]
Shauri yako,WatakulogaDharau kivipi mkuu
Chuma ilizingua kaya we mzee. Leo nimetoka church nitakuepo tu around chamwinoDogo nataka.kusepa unakuja au?[emoji28][emoji28][emoji28]
Saivi nimelala il baadae nyakuwa kisasa sheliChuma ilizingua kaya we mzee. Leo nimetoka church nitakuepo tu around chamwino
Kazingua hajafika uswazi huyuHahahaaa. Mana chai zetu huwa ni zile tunakunywa na mihogo ya kukaanga na saa ingine tunaponunua hata meza za kuweka sahani hamna zaidi ya zile benchi za kukalia na saa ingine unakuta watu wamejaa hamna pa kukaa. Teh teh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Cc. donlucchese
Sio hio kwenye kikombe mkuuTea wapi wakati sioni chai hapo??.Labda ungesema Breakfast.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mweh?? Huioni!
😂😂😂Huyu Uswahilina anapasikiaga nadhani tunagonga chai ya rangi na mihogo yenye pilipili nyingi mida ya saa5 juelekea saa6 wenyewe tunaita BRUNCH ndio ntolee mchana maji ya kandoro ya 100 siku ishaisha🙂🙂🙂