Tea uswahilini

Tea uswahilini

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
[emoji2][emoji2]
C360_2021-10-15-10-51-31-080.jpg
 
Jamaa anajipaisha sana wakati sisi wa uswazi huo msosi hatujawahi kuuona
Hahahaaa. Mana chai zetu huwa ni zile tunakunywa na mihogo ya kukaanga na saa ingine tunaponunua hata meza za kuweka sahani hamna zaidi ya zile benchi za kukalia na saa ingine unakuta watu wamejaa hamna pa kukaa. Teh teh 😆😆😆😆

Cc. donlucchese
 
Huyu Uswahilina anapasikiaga nadhani tunagonga chai ya rangi na mihogo yenye pilipili nyingi mida ya saa5 juelekea saa6 wenyewe tunaita BRUNCH ndio ntolee mchana maji ya kandoro ya 100 siku ishaisha🙂🙂🙂
 
Hiyo ndo uswahilini ninayoijua mie 😀

Na chapati zinajulikanaga haziwi za kunona namna hiyo. 😀😀 Yaani chapati ukiinua unaona upande wa pili.
 
Back
Top Bottom