Tea uswahilini

Tea uswahilini

Hahahaaa. Mana chai zetu huwa ni zile tunakunywa na mihogo ya kukaanga na saa ingine tunaponunua hata meza za kuweka sahani hamna zaidi ya zile benchi za kukalia na saa ingine unakuta watu wamejaa hamna pa kukaa. Teh teh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Cc. donlucchese
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23], mkuu si umeona hata meza hamna hapo, hata mkeka
 
Huyu Uswahilina anapasikiaga nadhani tunagonga chai ya rangi na mihogo yenye pilipili nyingi mida ya saa5 juelekea saa6 wenyewe tunaita BRUNCH ndio ntolee mchana maji ya kandoro ya 100 siku ishaisha🙂🙂🙂
Hahaha, mkuu we waki-sure tu kama hadi brunch unaijua
 
Hiyo ndo uswahilini ninayoijua mie [emoji3]

Na chapati zinajulikanaga haziwi za kunona namna hiyo. [emoji3][emoji3] Yaani chapati ukiinua unaona upande wa pili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanza Kuna majina tu yamekaa kishua. Shadeeya? Bora ingekua mwamvita, sikitu, tabu, mwanahamisi, chiku etc.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
, kwanza Kuna majina tu yamekaa kishua. Shadeeya? Bora ingekua mwamvita, sikitu, tabu, mwanahamisi, chiku etc.
Hahahaaaa. Mie wa Uswahilini Mkuu.

Dona bamia.
 
Mkuu kuwa wakishua sio dhambi. Watu ukiwaambia IST wanawaza gari wakati wewe unaikumbuka shule yako pendwa

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom