Dirisha la maombi ya vyuo awamu ya tatu

kill them

Member
Oct 19, 2016
24
17
Habari za asubuhi Wakuu?
Naomba kuwauliza kama vyuo vikuu vimeshafungua dirisha kwaajili ya maombi ya vyuo awamu ya tatu, na kama limeshafunguliwa vipi deadline ya kuomba ni lini?
 
IMG_5612.png

soma hapo kweny no 11
 
Hbr ndugu, naomba ushaur ninayo diploma ya local government nimefany application mar mbil mzumbe lkn sijakuwa selected due to high competition naomb nishaur niapply chuo gan kingine ambacho nitasoma coz ambazo zina relate na nilichosomea.. Mfano coz za HR, public administration, community dvlp na nyinginezo.. Ushaur tafadhal
 
Omba udom
 
Habari za asubuhi Wakuu?
Naomba kuwauliza kama vyuo vikuu vimeshafungua dirisha kwaajili ya maombi ya vyuo awamu ya tatu, na kama limeshafunguliwa vipi deadline ya kuomba ni lini?
Linafunguliwa tarehe 25 na litafungwa tarehe 29 mwezi was tisa
 
Hbr ndugu, naomba ushaur ninayo diploma ya local government nimefany application mar mbil mzumbe lkn sijakuwa selected due to high competition naomb nishaur niapply chuo gan kingine ambacho nitasoma coz ambazo zina relate na nilichosomea.. Mfano coz za HR, public administration, community dvlp na nyinginezo.. Ushaur tafadhal
Mbona vyimuo vingi tuu unaweza enda hombolo
Mwalimu Nyerere Memorial Academy kwa bachelor ya HRM Kuna CBE Kuna TIA navingine vingi
 
Hbr ndugu, naomba ushaur ninayo diploma ya local government nimefany application mar mbil mzumbe lkn sijakuwa selected due to high competition naomb nishaur niapply chuo gan kingine ambacho nitasoma coz ambazo zina relate na nilichosomea.. Mfano coz za HR, public administration, community dvlp na nyinginezo.. Ushaur
View attachment 2757946
hyo pitia hyo alaf angalia vyuo vinavyoruhusu mtu wa diploma aliye soma local government anaweza kusoma coz gan bachelor degree
ukiona umeshindwa kabisa nichek inbox
asante nashkur
 
Back
Top Bottom