Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,578
- 7,281
Fursa ndio hii - tuko kwenye lala salama, tukubali kushuka na tujitathmini vya kutosha. Kuna vyuo vya ku BEEP na kuna vyuo vya KUPIGA. Hakikisha unavyuo vya KUPIGA vya kutosha PAMOJA na vichache vya kuBEEP.tcu round ya nne 1/10 mpaka 4/10View attachment 1215705