Dirisha la maombi ya vyuo awamu ya tatu limefunguliwa?

kill them

Member
Oct 19, 2016
24
17
Habari za asubuhi Wakuu?

Naomba kuwauliza kama vyuo vikuu vimeshafungua dirisha kwa ajili ya maombi ya vyuo awamu ya tatu, na kama limeshafunguliwa vipi deadline ya kuomba ni lini?
 
Back
Top Bottom