TCU website ina be loaded masaa54 af nothing?¿¿!

Hyo yet publishd ni ktk profile lako but ktk tcu webst ndo kuna hyo selelected applicants af haina kitu!

mh mbn mi iko kama zamani ki2 not yet published kwenye mida ya saa kumi.

Jaman, katka vyuo ambavyo vimeshatoa majibu, ukikuta jina lako, si ina maana ndo chuo ulichopangiwa, hata tcu majbu yatakuwa hayo hayo! Ama nko wrong?

Jaman, katka vyuo ambavyo vimeshatoa majibu, ukikuta jina lako, si ina maana ndo chuo ulichopangiwa, hata tcu majbu yatakuwa hayo hayo! Ama nko wrong?

ndo jibu hlo dogo.

Back
Top Bottom