TCU Website HACKED?

MAKAH

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,582
265
wadau nimeshtushwa nilipoifungua website ya TCU usiku huu na kukuta message hii "HACKED....WEBSITE HACKED BY TAJINDER TECHNICAL RAINBOW THE GROUP OF INDIAN HACKERS BE AWARE FOR NEXT TIME. JAI HIND.

Mchana wakati tunaomba udahili wa vyuo ghafla ikakata na kuleta message too many connections!!

Ni kitu gani hiki wataalam

inabidi waongeze securities..... ni moja ya changamoto wamepewa .... unanikumbusha CNN ilivyokuwa hacked na hackers from Beijing government , hao hao hackers wakazima umeme south carolina for 5min.

wajitahidi kuongeza securities.. na hawa wahindi walikuwa wanahitaji nini humo TCU..?!!:A S 39:

attachment.php

Attachments

• cats.jpg
cats.jpg
101.6 KB · Views: 304
inabidi waongeze securities..... ni moja ya changamoto wamepewa .... unanikumbusha CNN ilivyokuwa hacked na hackers from Beijing government , hao hao hackers wakazima umeme south carolina for 5min.

wajitahidi kuongeza securities.. na hawa wahindi walikuwa wanahitaji nini humo TCU..?!!:A S 39:

attachment.php

hapo sana sana account no. za benki ndio wanatafuta.

Mimi nimejaribu pia kuingia TCU mara nyingi leo - ninachopata ni "Problem loading page"

Vyombo vya dola viingilie katika upelelezi kwani si siku chache zilizopita SONY wamelizwa hivi hivi. sio vibaya tukiweka uwezekano mbali mbali kv ufisadi baada ya fedha kwenye taasisi hii kuliwa au uwezekano uliotolewa na HBDAVI, uwezekano wa kuhusika HACKERS wazalendo - nchi hii sasa hivi tunai under rate lakini ina wananchi wako mbali katika masuala haya, nk. Tulioanza kujidahili ni vizuri tukatunza kadi tulizozinunua benki kwa zoezi hili.

PSN imekua hacked ije kuwa TCU? Hata wakiweka security ya namna gan,kama wanataka ku hack watapata loop holes tu...any damages done due to the hack?

poor security.........ni rahisi sana kuingia hapo...nimeingia nikaangali then nikawahurumia tu.....kama hawatabadilika watapata hasara sana

poor security.........ni rahisi sana kuingia hapo...nimeingia nikaangali then nikawahurumia tu.....kama hawatabadilika watapata hasara sana

inaamna wewe ndiye uliyefanya hii kitu.. au ulishawahi kufanya..:A S 39:

PSN imekua hacked ije kuwa TCU? Hata wakiweka security ya namna gan,kama wanataka ku hack watapata loop holes tu...any damages done due to the hack?

Simple reasoning hizo - Kwa kuwa PSN was hacked the TCU "should" be hacked - Real?

Simple reasoning hizo - Kwa kuwa PSN was hacked the TCU "should" be hacked - Real?

i ddnt say it should be...!i was jst try to say evrythng is hackable,no system is secure these days...evn JF cn be easly torn apart by hackers...

M nahc kuna wajanja wameichokonoa, ndo mana wakubwa wanambwela sasa hv kutoa majina. Ina maana hatuna wataalam wa ukweli??!!

Aisee, imesemekana jana hawa jamaa wamekuwa hacked. Link hii hapa! http://nyepesi.com/2011/08/16/tovuti-ta-tcu-go-tz-tcu-yawa-hacked-majibu-yamechakachuliwa/ kweli hii taaaaaabu tupu!

''Katika hali inayozidi kuonyesha hali legelege katika taasisi ya TCU , tovuti yao ( tcu.go.tz ) imekuwa hacked na hackers wanaodai wanatoka India.
Hii imepeleka watu wengi kujiuliza kama majibu ya waliochaguliwa kuana chuo yapos salama, pia watu wanasema ndo maana TCU wameshindwa kutoa majibu kwa muda unaotakiwa.
Kuna uwezekana mkubwa kuwamajibu yamechakachuliwa au yamefutwa kabisa na hackers hao!''

Hilo ni la kweli

Mh km ndo hvi,there must be a problem with system and attendants.,ni kwa nini hawakuangalia suala zima la usalama?katka haya mambo ni lazima kitu cha kwanza cha kuangalia ni usalama wa kutoingliwa na watu wengne

Nafikir Tanzania tunaingia kichwakichwa ktk digita world bila kuwa aware na Cyber attacks. Kama ndivyo hivyo,., tanzania kwishnei.

Jamani watz tupo hatarini kwa hachers hasa wahindi ndio wanaharibu.

Back
Top Bottom