TCU watoa mwongozo wa gharama za kufanya applications ya kujiunga chuo Kikuu 2017/18

Ama kweli wewe ni bendera fata upepo. Kwenye Uzi wangu nikilisemea hili umeleta shobo na kashfa nyingi, Leo TCU wamefanya nilivyosema tayari umeunga mkono. Kilichokufanya usiunge mkono awali ni nini? Siasa chafu!
 
Mapungufu:
  1. Barua imeandikwa tangu tarehe 25/7/2017 lakini kwenye website yao haipo kabisa.
  2. Muongozo unavielekeza vyuo vikuu vishiriki tu vya umma
  3. UD - colleges walianza jana, mpaka leo no changes gharama ni 20 thousands
  4. UDOM - bado ni 30 thousands
Take care guys. uhalali wa barua hii bado ni mdogo sana almost negligible. Kwa serikali tuliyonayo ya watu kupenda misifa ya kijinga, kama barua hii ingekuwa halali hata Mkuu wa Mkoa (wa mkoa fulani) angefyatuka kujizolea umaarufu. so ipe asilimia ndogo sana za kuiamini.
Kama hii barua haipo kwenye web site ya TCU utakuwa ni utapeli. TCU itabidi waitolee ufafanuzi mapema! Ah! mambo ya bongo bwana! furaha yangu imeanza kuyeyuka ghafla! Tusubiri tuone!
 
Hii inahusu vyuo vikuu vya umma au vya serikali tu kwa mujibu wa waraka toka TCU. Kwa vyuo vikuu vya binafsi maumivu yanaendelea kwa kugharimia kati ya sh 30,000/= na 50,000/= kwa kila chuo unachoomba.
Obviously vyuo binafsi vitashi dwa ushindani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ni kitu ambacho wengi wetu katika furaha yetu hatuja kiona. Kinaweza kuwa na athari kwa vyuo binafsi na tusipo angalia kwa waombaji pia kama wengi zaidi ya ilivyotegemewa mwanzo watajazana vyuo vya umma. Sina hakika kama 10000 ni gharama sahihi za mchakato wa admission hasa kwa vyuo vitakavyo pata wanafunzi wachache baada ya kibano kile cha TCU.
 
Kama hii barua haipo kwenye web site ya TCU utakuwa ni utapeli. TCU itabidi waitolee ufafanuzi mapema! Ah! mambo ya bongo bwana! furaha yangu imeanza kuyeyuka ghafla! Tusubiri tuone!
Ya 10000 ni kweli. Kwenye maonyesho ya elimu dar wa TCU wamelitamka hili live. Mzumbe University wamekwenda mbali na kueleza jinsi ya wale walio lipa 30000 watakavyo pata change lakini wasubiri mpaka game la udahili liishe.
 
Hii sasa inachanganya, kwa waliolipa tayari zaidi ya hiyo pesa sijui wana utaratibu gani.
 
Hii sasa inachanganya, kwa waliolipa tayari zaidi ya hiyo pesa sijui wana utaratibu gani.
 
Watanzania wengi ni wajinga ndio maana wanakubaliana na vitu feki kama hivi..yaani wajinga wameamua kusapoti huu ujinga wa kutunga kamba ni sahh...nendeni kwenye website ya TCU km kuna kituko hicho..

Pili fuatilieni mfumo mzima unatumiwa na TCU kutoa taarifa zao km zimekaa kijinga hvyo..yaani profesa aandike koleji ya humanities...wkt humanitia ndio kiswhil..kwann asingeandika college of humanities au koleji ya humanitia..

Acheni ujinga, mfumo wenyewe wa barua umekaa kibashite bashite tu halafu mabashite waliomaliza form 6 nao bila kuchuja wanasapoti tu.
 
Mapungufu:
  1. Barua imeandikwa tangu tarehe 25/7/2017 lakini kwenye website yao haipo kabisa.
  2. Muongozo unavielekeza vyuo vikuu vishiriki tu vya umma
  3. UD - colleges walianza jana, mpaka leo no changes gharama ni 20 thousands
  4. UDOM - bado ni 30 thousands
Take care guys. uhalali wa barua hii bado ni mdogo sana almost negligible. Kwa serikali tuliyonayo ya watu kupenda misifa ya kijinga, kama barua hii ingekuwa halali hata Mkuu wa Mkoa (wa mkoa fulani) angefyatuka kujizolea umaarufu. so ipe asilimia ndogo sana za kuiamini.
Udom na mzumbe 10000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCU imeagiza uongozi wa vyuo vya elimu ya juu kuwa gharama za kuomba kujiunga na chuo ni Tsh. 10,000/- tu kwa kila chuo.

Hii ni kutokana na utaratibu wa applications kubadilika na kuwa kila Mwanafunzi atatakiwa kutuma Maombi ya kujiunga na chuo moja kwa moja chuoni tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma!!

Binafsi nawapongeza TCU kwa kusimamia jambo hili mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili nawapongeza sana TCU
 
Ya 10000 ni kweli. Kwenye maonyesho ya elimu dar wa TCU wamelitamka hili live. Mzumbe University wamekwenda mbali na kueleza jinsi ya wale walio lipa 30000 watakavyo pata change lakini wasubiri mpaka game la udahili liishe.
samahani mkuu,hivi hiyo barua inawahusu na wanaotaka kusoma diploma na certificate?
 
samahani mkuu,hivi hiyo barua inawahusu na wanaotaka kusoma diploma na certificate?
Sina hakika ingebidi NACTE (kwa zile program ambazo ziko chini yao) watoe muongozo lakini kama ni certificate na diploma za vyuo vikuu nafikiri itazihusu kwani application inapitia system hiyo hiyo..
 
Back
Top Bottom