Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Tembelea website ya TCU uone majina ya applicants with missing infornatio na upate maelekezo nini unatakiwa kufanya kama jina lako lipo.
Tembelea website ya TCU uone majina ya applicants with missing infornatio na upate maelekezo nini unatakiwa kufanya kama jina lako lipo.
Ahsante mkuu. Kweli nimenza kuamini hii wiki haipiti
M2 aexplain kidogo basi.
Kwa jinsi nlivotembelea na kuona ni kwamba tcu wametoa majina ya applicants ambao baadhi ya taarifa zao hazipo kwenye profile zao kwa mfano taarifa hizo ni namba za simu,anuani,namba za form 4&6 pia na selected programs......
Hivyo wanatakiwa kuziongeza kwenye profile zao au kama huna access uwasiliane nao!
Mkuu asante kwa taarifa ili nimetazama naona majina 196 tu ni kweli au nimetazama vibaya nijuze plz.
Umeshatembelea na kuona hiyo idadi ya hayo majina?
141 ndio idadi kamili.
Mimi nimeona 197.