TCU watoa majina ya applicants with missing information

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Tembelea website ya TCU uone majina ya applicants with missing infornatio na upate maelekezo nini unatakiwa kufanya kama jina lako lipo.
 
Sasa mbona deadline imesha pita, maana naona ni MONDAY 6TH AUGUST 2012
 
Tembelea website ya TCU uone majina ya applicants with missing infornatio na upate maelekezo nini unatakiwa kufanya kama jina lako lipo.

Mkuu asante kwa taarifa ili nimetazama naona majina 196 tu ni kweli au nimetazama vibaya nijuze plz.
 
M2 aexplain kidogo basi.

Kwa jinsi nlivotembelea na kuona ni kwamba tcu wametoa majina ya applicants ambao baadhi ya taarifa zao hazipo kwenye profile zao kwa mfano taarifa hizo ni namba za simu,anuani,namba za form 4&6 pia na selected programs......
Hivyo wanatakiwa kuziongeza kwenye profile zao au kama huna access uwasiliane nao!
 
nimekuelewa lakn mda c ushapita mkuu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom