TCU WANATAFUTA KIKI

TCU WANATAFUTA KIKI

surangumu

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
254
Reaction score
98
Habari zenu wanajamvi,
Hivi jamani hawajamaa wana ajenda gani ya siri?
Mpaka Leo tarehe 27/9/2016 hawatoi matokeo ya udahili wanamaana gani??
Au ndo wanatafuta kiki ??
Au nyie mnaonaje wakuu tujuzane zaidi, karibuni...
 
KIKI hapo inahusika vipi? yaani waharibu kazi halafu useme wanatafuta kiki!!!
 
Habari zenu wanajamvi,
Hivi jamani hawajamaa wana ajenda gani ya siri?
Mpaka Leo tarehe 27/9/2016 hawatoi matokeo ya udahili wanamaana gani??
Au ndo wanatafuta kiki ??
Au nyie mnaonaje wakuu tujuzane zaidi, karibuni...
Weka namba zako za mitian apa nikupeleke third round.
Maana huna heshima
 
Ww umeomba chuo gani?? Mbona vyuo vingi majina yameshaanza kuwa released
 
Msiwe na machungu nyote mtaenda vyuon, punguzen jazba na presha za ajab ajab.
Tatzo mnajiona kama mnachekwa na wiochaguliwa first round.

Kitu kinaachiwa cku sio nying
Ngojangoja huumiza matumbo mkuu!!
Pia haraka haraka INA baraka
 
Back
Top Bottom