TCU WANATAFUTA KIKI

TCU WANATAFUTA KIKI

Hebu tulieni huko ,mlipokimbilia kuomba daresalama mlikua mnadhani mchezo mchezo!??subirini vyuo vya tabora labda
hahahahaha

mkuu punguza bhana watapata stroke asee,

unajua wote walijaza udsm waje watizame mataa ya ubungo.

ni dhahiri sasa watapangiwa vyuo vya simiyu.
 
hahahahaha

mkuu punguza bhana watapata stroke asee,

unajua wote walijaza udsm waje watizame mataa ya ubungo.

ni dhahiri sasa watapangiwa vyuo vya simiyu.
Unaiona dsm kama Paris vile, watu wamesoma Oxford wametulia tu.
Acha ujinga ww na nakwambia haya na mm nikiwa kama mkaz DSM
 
Back
Top Bottom