TCU selection hizo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU selection hizo!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mbute na chai, Aug 3, 2012.

 1. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Habari za tetesi; selection za tcu kutangazwa hii leo ama mapema juma lijalo.
  Note: Website ya TCU inakuwa slow sana mara nyingi, uvumilivu ni muhimu
   
 2. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Source tafadhali.
   
 3. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Source kwanza! Usituletee habari umeisikia kwa makonda wa mabasi msamvu afu unaleta jamvini..
   
 4. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Login kwenye cas acount yako mkuu.
   
 5. M

  Mnyaturu Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hzo we subiri mpaka mgomo wa walimu uishe.
   
 6. A

  Apex JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu ku login lkn haifunguki tena je ndo unamaanisha ni selection?
   
 7. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  not yet processed mkuu
   
 8. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  jaribu tena, utakuta ni kama ulivozoea kuvikuta. No changes
   
 9. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Taarifa hizo ulizowasilisha ni habari za kwenye magenge ya kahawa yaan ni uongo
   
 10. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu.
   
 11. e

  elank54 JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  , inaonekana vitu soon kuna link mpya tcu ukilog in kuna chat nzuri ya selection
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  hiyo link iko kwako tu,mbona sie wengne hatuioni?
   
 13. e

  elank54 JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  we elank54,acha kuzingua bana,hakuna kitu kama hicho.
   
 15. e

  elank54 JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  unakataa hadi hiyo link?? Nimefungua mwenyewe na firefox mozilla web in my phone maana opera ilktaa... Kama hutak amini hakuna tatizo..
   
 16. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,744
  Trophy Points: 280
  Mkuu kweli ni uzushi.Lakini mimi nimepiga simu leo kupata ufafanuzi wa kukuta kozi ambayo niliibadilisha lakini inaonekana kwenye account yangu.Niliambiwa kuwa admission officer pale TCU hayupo ila yule dada aliyepokea simu nilimuuliza kama selectio imefanyika akaniambia kuwa selection ilikwishafanyika kilichobaki ni kutangaza hayo majina.
   
 17. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamani hizi ni tetesi tu zinaweza kua za ukweli ama za uongo.
   
 18. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 1,827
  Trophy Points: 280
  Kwani tatizo lipo wapi? Mbona muda wa kufungua vyuo bado sana kwa nn muwe na haraka na hizo selection. au mnadhani chuo kikuu ni kama sekondari mtakuta wa vyuo vingine wamekata topic kadhaa, na mtafanya mtihani wa Taifa ambao utakua ni mmoja kwa vyuo vyote Tanzania nzima? Waacheni TCU wafanye kazi kwa umakini msiwape pressure ya kutoa selection mapema then wakakosea. mie ningeshauri watoe selection mwezi wa 9 wiki ya kwanza
   
 19. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kwahiyo uko kubadilika kwa course haija effect selection yako maana mimi mwenyewe nilikuta hivyo hivyo kama wewe...
   
 20. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,744
  Trophy Points: 280
  Kuhusu ilo tatizo yule dada alisema wao(TCU) wanaliona kwenye system na akasema wanaopiga simu ni wengi.
   
Loading...