TCU phone number

TCU phone number

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
Hbr mwenye namba za tcu tofauti na walizoweka kwenye website anisaidie
Naona vyuo vya tanzania vinaluka uku ndo vimeambiwa vitusaidie kuhusu utata wa namna yeyote now wanasema tupigie tcu ndo watoaji wa code plz mwenye any contact info atusaidie (kuhusu email yao awatujibu)
 
Wachek kwa emeil yao mkuu
IMG_20181005_114632.jpeg
 
Hbr mwenye namba za tcu tofauti na walizoweka kwenye website anisaidie
Naona vyuo vya tanzania vinaluka uku ndo vimeambiwa vitusaidie kuhusu utata wa namna yeyote now wanasema tupigie tcu ndo watoaji wa code plz mwenye any contact info atusaidie (kuhusu email yao awatujibu)
Nenda mjini magogoni street hapo uonane nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom