Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 889
- 1,226
Pole na majukumu wakuu
niende kwenye mada moja kwa moja..round ya pili ya selection vyuoni nimechaguliwa mzumbe na nikachaguliwa katika chuo kimoja tu, Mzumbe walinitumia sms kwa cm yangu kuwa nisubiri CODE KUTOKA TCU ili nithibitishe kwenda Mzumbe sms hiyo walinitumia Juma3 wiki hii.
sasa mpaka leo sijapata CODE hiyo jana nikawapigia mzumbe wakaniambia wao hawahusiki kutoa CODE HIZO, leo trh 5 ni mwisho wa kuconfirm, TCU wana huduma ya cm ya mezani ile namba huwa hawapokei hata upige siku nzima, ukiwatumia Email pia hawajibu..na kibaya zaidi kwa website ya TCU wametoa tangazo kuwa mambo yote ya vyuo au utata wowote ulize kwenye chuo ulichochaguliwa ukipiga chuoni hakuna msaada sasa ushauri wenu wakuu, kama kuna mtu mwenye tatizo kama hili anipe uzoefu yeye alilitatuaje au anatarajia kufanyaje.
Niliko kwa sasa siwezi kufika TCU niko mkoani. ushauri wako ni muhimu.