Fahamu umri wa simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Unapenda kufahamu umri wa simu yako

kama umenunua simu kwa mtu au dukani sio mbaya ukajua umri wa simu yako ili kuipa ufanisi zaidi katika ufanyaji wake kazi njia zinakuwa tofauti kutoka mtengenezaji mmoja mpaka mwingine

maana kuna baadhi ya sehemu unaweza kwenda kununua simu alafu wakakuambia mpya kumbe toka imetengenezwa ina miaka miezi kadha ndo umeipata mpaka imekufikia.

Phone purchase Box
sehem ya kwanza kabisa ya kuangalia ni kwenye box la simu yako. watengenezaji wengi wa simu huwezq kuweka tarehe ya simu ilivyotengeneza kwenye box.

wengi wao huweka kwa mfumo wa sticker nyuma ya box kwenye sticker utaona maneno machache,symbol au barcode. hapo uweza kuficha tarehe fulani ya simu yako ilivyotengeneza.

kwa kutumia application
njia hii kwa kutumia apps kwenye simu yako kwa kuweza kupakua app na kuinstall kwenye simu yako ingia google kisha pakua app ya device info kisha system juu utaweza kujua simu yako imetengenezwa lini mpaka imekufikia .

kwa kutumia code
ila kabla hii unaweza kufanya kwanza hivi ingia setting ya simu yako >> about phone >>itakuonyesha details kuhusu simu yako kama vile jina la simu yako , about au phone data.

ila kama akuna tumia njia hii
piga #197328640# or ##197328640##. >> itafungua service menu >> Menu version info>> hardware version>> read manufacturing date
au tumia code hii *#000#

kwa watumiaji wa IPHONE
ingia setting kisha general alafu about kisha kwenye Serial number ile digit ya tatu itaonyesha mwaka. mfano***8= 2008 , au ****9= 2009 ***1 > 2011 nk

njia nyingine ni kwenye website( tovuti)
tembelea kwenye tovuti ya chipmunks kwani wao wanatoa offer ya kuangalia details ya simu yako bure. unaweza kutumia simu , pc au mac.

kisha utaweza kuandika serial number ya simu yako kisha bonyeza kwenye laat de informative ikiwa na maana ya provide information hii pia njia utakayoweza kuona manufacture date ya simu yako.

Kwa maujanja mbalimbali kuhusu teknolojia kwa lugha ya kiswahili na masuala ya simu kompyuta apps games software matatizo pamoja na suluhisho zake karibu Instagram

tuachie maoni yako sasa ili umejifunza nini leo kwenye makala yetu ? โœ“
 
Duh!! kumbe natumia chombo ya 2013
 
Back
Top Bottom