Duuh haya mambo usipokuwa makini muda unaisha bila kujua.
Maana my young sis ameambiwa mwisho wa mwezi August ndio mwisho sasa lipi kweli.
Mkuu iyo taarifa yako ipo na source yoyote unipe nikashuhudiee?
Watu wanaoaply wenye diploma zao mwisho ilikua tar18.7.2015 wameongezewa mpaka tar 2.august hao waliotoka direct form six ndio mwisho wa mwezi huu deadline yao
Nami pia nina Ndugu yangu amepatwa na tatizo kama lako na akiwapigia nacte wanasema tatizo liko kwa watu wa voda voda nao wakipigiwa wanasema tatizo liko kwa nacte sijui tutafanyaje......muda Wameongeza mpaka tar 2.august
Hv kuna dogo kaaply sas ana ka wiki, akilog in anaktana na notifctn kuw aconfrm kuw atachgliw popot ktka prog zake alizioomb kulngna na compettion ya wat ktk vyuo ,,sa naulia NOTIFICATION HII HUW NI YA KAWAID NA HUTUMIW KL MT KTK PROFILE YAKE??
Wakati nafanya registration kwa ajili ya maombi ya kujiunga chuo wakati nipo kwenye process server imeshindwa kutoa matokeo yangu ya A level.
Sijafahamu tatizo lipo wapi inawezekana NECTA database haijawa loaded na matokeo yangu hayo?Msaada kwa mwenye uelewa kwani nikifika eneo hilo la profile yangu haitoi matokeo ya A level.
Naomba niweze kukamilisha usajili ili nitume maombi.
Watumie e-mail na upige,simu pia nilikua na ilo tatizo nikawatumia number za mitihan yangu wakanirekebishia na kunipa password mpya nikaweza kuendelea na usajili
umeshaclick ile sehemu ya chin kulia inayosomeka form 6 results?, manake kabla ya kuclick pale unapoenda tu kwenye view results yanaonekana ya o-level tu. Kama tayari na bado, watafute?
wakuu jana mida ya jioni nilikuwa nimeanza mchakato wa kuapply chuo kwa CAS kama form 6 lakin baada ya kutuma ile 50000 nilitumiwa vocha ila kila nikifanya registration inaandika TRANSACTION IS NOT VALID wakanambia nijarb baada ya saa 1 lkn bado ikagoma hvohvo! naomba msaada tafadhali kwa wenye uzoefu!