kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
Hiv neno NA linamaana gani?
ingekuwa vema kama ungetoa heading pia ili mtu ajue sababu inaweza kuwa moja wapo ya hizi ninategemeana heading ya juu.
1. NA=Not Applicable
2. NA=Not Admitted
Nandi Azikiwe
wakuu mbona tcu wamedanganya deadline ya 3rd round?!! au nyie mnafaham mabadiliko yeyote?!?!!!!!
Kipi chuo bora kwa sasa kati ya hivyo hapo