Sossy Mwasi
Senior Member
- Jul 19, 2015
- 190
- 23
mimi kuna mtaalam alinijuza kwamba ukiona capacity ipo 0 means that the given institution 2 that program has become full ikiwemo na wewe pia umo ndani yake,,,and when you see negative 5 and whatever means that kuna wa2 watano wamezidi idadi inayotakiwa,,sasa hapo kupata au kukosa hcho chuo itategemea na vigezo ulivyonavyo mfano cutting points(A LEVEL/O LEVEL),,pia kama wanawake wapo weng ktk waombaji huwa wanapewa priority..
course 5 ,mda mwngne huwa wanasahau kuedit baadh ya taarfa, cha msingi fuata unachoambiwa kwenye profile,chagua 5!tangazo la third round linasema uchague course moja kwenye cas ni course 5 ipi sahihi
mwaka huu vyuo vimeweka vigezo vya cutting off points zenye ufaulu wa juu sana,kwahy huenda alichagua courses za kibabe...na unakuta wengi waliochagua course hyo wanaufaulu wa juu sana,haya ndo madhara ya BRN.Mkuu Mimi Kuna Jamaa Yangu Ali Apply 2nd Round.Mara Ya Mwsho Alipochek Akakuta Remaining Capacty Katka Kla Programm Zote Zimebaki 0 Na Mwsho Wa Siku Akaangukia 3rd Round
tangazo la third round linasema uchague course moja kwenye cas ni course 5 ipi sahihi
mwaka huu vyuo vimeweka vigezo vya cutting off points zenye ufaulu wa juu sana,kwahy huenda alichagua courses za kibabe...na unakuta wengi waliochagua course hyo wanaufaulu wa juu sana,haya ndo madhara ya BRN.
mimi kuna mtaalam alinijuza kwamba ukiona capacity ipo 0 means that the given institution 2 that program has become full ikiwemo na wewe pia umo ndani yake,,,and when you see negative 5 and whatever means that kuna wa2 watano wamezidi idadi inayotakiwa,,sasa hapo kupata au kukosa hcho chuo itategemea na vigezo ulivyonavyo mfano cutting points(A LEVEL/O LEVEL),,pia kama wanawake wapo weng ktk waombaji huwa wanapewa priority..
tangazo la third round linasema uchague course moja kwenye cas ni course 5 ipi sahihi
hvyo ndo hali halisi ilivyo si lazima ingekuwa mkiomba course moja ndo ijae au isijae,kimsingi ni kwamba kuomba kozi 5 cyo kigezo cha hzo kozi kutojaa eti kisa ni nyingi..watu wanapgania hzo nafas chache zilizobaki ili wasikose kabisa vyuo,kwahyo mkuu tuombe mungu hii ndo TZ.sasa mkuu znajaa vipi wakati application bado watu wanafanya na izngatwe kwamba hatuomb coz 1 tunaomba 5?! ingekuwa tunaomba coz 1 ingekuwa iksoma 0 unajua imesha jaa lkn n mm npo lkn zpo 5 mkuu...
mimi kuna mtaalam alinijuza kwamba ukiona capacity ipo 0 means that the given institution 2 that program has become full ikiwemo na wewe pia umo ndani yake,,,and when you see negative 5 and whatever means that kuna wa2 watano wamezidi idadi inayotakiwa,,sasa hapo kupata au kukosa hcho chuo itategemea na vigezo ulivyonavyo mfano cutting points(A LEVEL/O LEVEL),,pia kama wanawake wapo weng ktk waombaji huwa wanapewa priority..
Thanks Upo Sawa
Kama yupo sawa na amesema ukiona capacity ni zero that means chuo kimejaa na wewe applicant ukiwemo what if capacity ikiwa zero kwenye zaidi ya chuo kimoja maana yake umechaguliwa kwenye chuo zaidi ya kimoja?
Sidhani kama ni kweli hiyo concept yake kwa simple reasoning tu