Hellena Goodluck
Member
- Sep 10, 2014
- 84
- 26
samahan, naomba kujua jins ya kufngua profl lang mana kila nikijarb kuweka user name&paswod nlizo2miwa necta haifunguk
wakuu, kwa wale wanaofahamu kujaza fomu za tcu cas, ukishamaliza kujaza kozi zote tano una-submit wapi? sioni option ya ku-comfirm au ku-submit ukimaliza. msaada tafadhali
hii website ya tcu mbona kwagu inagoma tangu jmos.msaada wadau
usirudie kuweka konfirmation code hadharan utaibiwa wewe
hapo ndo mwisho mwenyew ilikuwa ivo nkauliza wakanambia nimemaliza