wakuu naomba mnisaidieni mimi nilikua nafanya hizi application za vyuo lakini nilipokua najaza baadhi ya details pale lakini kila nikijaza ile payment transaction ID ilikua inatemwa naambiwa imeshatumika wakati naamini na ninauhakika hii ID hamna aliyeiona n mimi mwenyewe na yule wa cafe ambae alikua ananifanyia application sasa kila nikiingiza inatemwa imetumika sasa sijui tatizo nini naomba nisaidieni
tcu wanamatatizo gani lakin kutwa mzima website yao haipatikani tatizo ni nini lakini, itakuwaje sasa mda ushaisha na application sijafanya then netwok yao haipatikan
tcu wanamatatizo gani lakin kutwa mzima website yao haipatikani tatizo ni nini lakini, itakuwaje sasa mda ushaisha na application sijafanya then netwok yao haipatikan
Siyo kweli deadline ni tar 15 aug
Ila mchakato wa second roll ndio utaendelea mpaka tar 31.
Hiyo ndio taarifa rasmi.
Sababu kunavyuo vinafungua mwez wa tisa