mr promise
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 142
- 135
Nimegundua kama na wewe ni kilaza kama yule dogo
Dogo hakufikilia hilo, bora angeenda huko huko kwa wafanya biashara (kcmc, bugando, etc) asa hadi muhas anajaza dah ,hakuwa serious kabisa, haya mwache aumize kichwa sasa akili imkae kwanza,
Kuna mtu ameuharibu huu uzi wa huyu dogo Buffer, sijui kwanin...!!
Watu wengi waliofaulu kwa kukalili na kuuotea mtihani huwa wako hiv, akija huku kazin mbwembwe tupu..!!
Dogo jaza vyuo ulivyoshauriwa, ukishakuwa selected, utajaribu kufanya transfer chuo utachokipenda, ikishindikana bas usome utakakopata ..!!
Mkuu Kumbuka Pia GPA Kubwa Siyo Tija Waweza Kua Na GPA Kubwa Bt Kiufanisi/utendaji Ukawa Kilaza Na Alie Ingia Na GPA Ndogo Akakuzid Ufanisi Kazin.,,kwenye Fani Ya Udaktari GPA kubwa o ndogo is nothin coz ipo tu ili ukamilishe unachokisoma bt ni muhimu pia..kutibu wagonjwa wengi,kukutana na changamoto nying zinazohusu afya kwa ujumla ndo humfanya mtu awe na ufanisi katika kaz hiyo..Mfano Mzur Ukichunguza Madaktar Weng Walioanzia C.O Wana Ufanisi Mkubwa Zaid Ya Wale Walioingia MD direct
Nani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.
So sory but wewe uliyeandika hapa nahisi ndo kilaza tena mpumbavu (samahani)...kama tayari upo chuo au unategemea kwenda nahisi bado hujakua..nani aliyekwambia wasiosoma medicine hawana uwezo?...au wanaosoma medicine ndo wana akili zaidi?...idiot...maisha hayapo ivo and keep in ur mind huyo aliyepata merit yawezekana ana uwezo zaidi yako tena sana...exam results sio kipimo pekee uwezo wa mtu..stop calling wenzio vilaza bhana...mpaka kafika hapo sizan kama unastahili kumuita ivo...UMENIKERA!
Hiyo kazi unapataje bila kufaulu ,tena kufaulu sanaa, acheni kumshauri Dogo ujinga, mwambieni ukweli kuwa Medicine hasa Muhas haihtaji vilaza ,kwa matokeo yake hayo dogo alibugi, narudia tena ,watanzania wengi hatupendi kuambiwa ukweli, a guy he is not suitable and fit kwa chuo kama Muhas
Kilaza wewee nenda Eagle wings college ukasome Medicine, Muhas hatutaki vilaza
hivi huwezi kusonga mbele bila M.D?...is M.D everything to u mpaka uwape wazazi mzigo mwingine tena?...(incase kama hawana uwezo wa kutosha)...can u try to divert ur mind to other professionals?...anyway kwangu mie nahisi t z better uende C.O kwanza if ur mind cant leave m.d kuliko kwenda hivyo vyuo vyenye gharama kibao...PCB?..una wigo mpana mdogo wangu..unaingia kila sehem...just think careful and if posible tafta watu wakushaur deeply...my mum once told me 'sometimes we ought to do something we don like not because we don deserve to do wat we like, it is for our beloved ones and it is our fate and destiny...if u keep fight 4 wat u like u will end up either hurting ur beloved ones or injuring urself...gudluck young b
hiv amekwambia amejaza muhas peke ake...acha kutumia DDA Halafu si ajabu we ni medical attendant wa muhimbili maaana ndio wanajifanyaga wao ni ma professa mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Nimependa sana comment yako,, u have spoken da truth,,,
Fikilia C.O amekuwa kwemy medical practice, then a-upgrade to degree level + internship,, possibility ni kubwa ku-acquire more skills &competence,, coz Clinician ashakutana na ku-manage case tofauti,,,,
By da way, slots zimebaki KIU kwa kozi ya MBBS (medicine) kwa 3rd round, kama ana uwezo aombe KIU, na kama dream yake ni kuwa Dr, unaweza pia kuanzia diploma ya clinical medicine, then badae utaupgrade to degree level,,, au usubiri mwakani,,,
Ushauri ni huo dogo.
hivi huwezi kusonga mbele bila M.D?...is M.D everything to u mpaka uwape wazazi mzigo mwingine tena?...(incase kama hawana uwezo wa kutosha)...can u try to divert ur mind to other professionals?...anyway kwangu mie nahisi t z better uende C.O kwanza if ur mind cant leave m.d kuliko kwenda hivyo vyuo vyenye gharama kibao...PCB?..una wigo mpana mdogo wangu..unaingia kila sehem...just think careful and if posible tafta watu wakushaur deeply...my mum once told me 'sometimes we ought to do something we don like not because we don deserve to do wat we like, it is for our beloved ones and it is our fate and destiny...if u keep fight 4 wat u like u will end up either hurting ur beloved ones or injuring urself...gudluck young b
Nashukuru kaka umetushauri wengi
Busara zangu sio kwa vilaza mkuu, Dogo ni kilaza huyo