TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

Tafadhali kama kweli hili tunataka utafiti waliofanya kwanza, waulete huo tuusome tuone, si suala la mtu kupewa amri na "mkewe" then asubuhi aje atoe maamuzi makubwa namna hii
 
Tanzania kwa ngonjera mnafurahisha sana! wapo maelfu waliomaliza kidato cha sita na diploma na wamekosa nafasi za kujiunga na chuo kikuu kutokana na ufinyu wa mikopo na nafasi leo mnazungumzia darasa la saba,.Nyie viongozi wapanga sera mmeshatuona watanzania hatuna ubongo kabisa au vipi??
 
Kikwete hili likitokea ndani ya uongozi wako ni "dhambi" ambayo itakufuata mpaka kaburini, Darala la Saba? Nyerere alikuja na Ualimu pasipo elimu, Mungai aliunganisha Physics na Chemistry, huyu Kawambwa anakuja na Degree pasipo elimu, kwani haya ndiyo matatizo yanayoikabili Tanzania lakini hata haiendelei mbona nyie watu mlioko serikalini mmechoka hivi kufikiri, kuna tatizo gani kwenye vichwa vyenu
 
Sina uelewa mpana wa mifumo ya elimu duniani, lakini kuna ka-harufu ka hatari kananukia nchi yetu. Yaani darasa la saba hili la Tanzania ya leo ambapo mtoto anashindwa kupata alama za kujiunga na shule za kata, then akasome chuo kikuu kwa mitihani ya masomo matatu? Sasa practically, huyu darasa la saba wa miaka hii 25 atapata udhoefu wa kutoka wapi, na fani ipi/ Kwa sababu nijuavyo mie, Serikali na waajiri wengi wanachukua kuanzia form 4, hawa Darasa la 7 wengi ni ma-house boy na house girl ambao hata hivyo wengi nao hawawataki siku hizi. TCU mnataka kutupeleka wapi, hebbu tunaomba wekeni hadharani utafiti mlioufanya ili tuone ikiwa kweli mko sahihi, lakini kama mnafanya kazi kwa ki-memo; kwa kweli Taifa laelekea kubaya sana. Nadhani ingefaa kuimarisha mfumo wa QT na VETA na kuifanya iwe lazima kwa anayeshindwa kuendelea na Kidato cha kwanza, badala ya hii mnayotaka kufanya, ni msiba huu. Kama watoto wadogo wa drs la saba na kidato cha 4 wanaiba mitihani, mnadhani hawa watu wazima wenye hela zao waliokimbia shule na sasa kutaka kuwa na veti vya chuo kikuu watashindwa kuiba mitihani?

Lakini pia Kwani utalaam na kulitumikia Taifa mpaka uwe na cheti cha elimu ya chuo kikuu pekee. Mbona tunao wasio na na vyeti vya chuo kikuu lakini wako vema kwa utambulisho wao huo wa Darasa la saba n.k. Whats motives behind this move? Jibu la watanzania kimya

ACHA GERE NA WEWE! kwani hujui kwa TZ "ELIMU NI CHETI" NA SI UWEZO
 
Kikwete hili likitokea ndani ya uongozi wako ni "dhambi" ambayo itakufuata mpaka kaburini, Darala la Saba? Nyerere alikuja na Ualimu pasipo elimu, Mungai aliunganisha Physics na Chemistry, huyu Kawambwa anakuja na Degree pasipo elimu, kwani haya ndiyo matatizo yanayoikabili Tanzania lakini hata haiendelei mbona nyie watu mlioko serikalini mmechoka hivi kufikiri, kuna tatizo gani kwenye vichwa vyenu

MKAPA akaja na Vodafwasta failure wa mara 1O anaungaunga ndan ya miaka 10 tu c tu 3 kisha ni mwalimu huuyooo Sekondwar tena mtaaluma!
 
jambo hili si jema kwa taifa, tusilichukulie kichama, wanazidi kucheza na elimu, wameharibu O-A level, sasa wanataka kuharibu na vyuo vikuu. Hapo naona ni mfumo wa kupiga ela tu.
 
Ona mbele zaidi huu mfumo .unatumika Marekani ,Uingereza , Ufaransa e.c.t nyingi duniani ,Nimfumo mzuri sana kwa kukuza vipaji ,mfano hapo meru Arusha kuna kijana kaunda trekta ni darasa la saba ,unaonaje huyu akichukuliwa chuo kikuu kwa elimu zaidi ?
 
chuo kikuu akafanye nini? C apelekwe VETA tu!
 
hii sasa mpya dah na wale form four walio feli masters yao wanakwenda kuchukua wapi bandari ya bagamoyo
 
Nakumbuka enzi zetu kulikuwa na "Mature Age Entry" ambao ni wale waliomaliza Form Four/Form Six na wakakaa zaidi ya miaka mitano na wanauwezo katika fani fulani basi walikuwa wanapigwa paper na kujiunga na chuo, hili sasa la DARASA LA SABA ni UPUUZI!. Kwa nini wasiwapeleke VETA?????, au kama ni fani ambazo hazipo VETA (Udaktari (COs, Manesi) au Uanasheria si wawapeleke vyuo vya kawaida. CHUO KIKUU NI SEHEMU YA KUPELEKA WATU WENYE UFAULU ILI WAWEZE KULETA TIJA NA SII KILA MTU APELEKWE CHUO KIKUU! UPUUZI!
 
kipindi kile cha elimu ya FTC wanafunzi waliokuwa wanamaliza chuo na kufanya kazi china ya engineer anayetambulika kwa miaka 3 bila kuwa sababisha kosa lolote basi walikuwa wanapandishwa na kuwa maengineer lakini wengi walikuwa wanapwaya sana sasa hili la darasa la saba ni ukichaa
 
Mie binafsi ni graduate wa bachelor in business administratoin niliyopatia uingereza kwa mfumo huu matokeo yangu ya form iv nilifeli nilipata 0 sikupewa cheti kwa mfumo wa elimu huu nikasoma foundation nikafaulu then certificate then nikapata vigezo vya kuendelea mpaka juu,kuna vyuo ambavyo ni matawi ya vyuo vikubwa vya UK vipo hapa tz vinatoa elimu katika mfumo huu degree yangu ni universty of greenwich na iko recognized worldwide
 
Back
Top Bottom