UDSM: Mitihani Maalum na Mitihani ya Marudio haijafutwa

UDSM: Mitihani Maalum na Mitihani ya Marudio haijafutwa

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,738
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimekanusha taarifa zinazosambaa mtandaoni zikidai kuwa mitihani maalum (Special) na mitihani ya marudio (Supplementary) imefutwa

Soma Zaidi Chuo Kikuu cha UDSM chabadili utaratibu wa Supplementary na Special Examination

Uogozi wa UDSM umesema mitihani hiyo ipo na itaendelea kutolewa, isipokuwa itafanyika ndani ya kalenda ya kawaida ya kitaaluma ya chuo. Chuo kimesema mabadiliko hayo hayaathiri viwango vya mitihani wala kubadilisha vigezo vya kuendelea na masomo.

udsmofficial_1792755310_4014244903593897688_6616728715.jpg
 
Prof. mngeitoa tu hiyo mitihani ili watoto watumie vizuri hela zao za boom.
 
Back
Top Bottom