TCRA: Yatoa neno kwa Vyombo vya Habari vinavyowatumia watangazaji wasio na Taaluma ya Habari

Kipanya darasa la saba B
Sina Mafungamano na Masudi Ally Kipanya na nikiwa Kama kijana Msomi siijui elimu yake ila toka ninakua mpaka Sasa nimekuwa nikimfuatilia KP na kumaizi kuwa ni mtu Mwenye akili,patriotic and visionary zaidi ya Sisi wengi tulio na Doctorates na Masters....

Nisamehe kwa kusema labda unamsigina haiba yake kwa Ad Hominem.
 
Uko sahihi jamaa yuko vizuri kichwani ana IQ kubwa , nimemjua kitambo mtaani kijitonyama miaka ya 80s,angesoma zaidi sijui ingekuaje
 
Sina Mafungamano na Masudi Ally Kipanya na nikiwa Kama kijana Msomi siijui elimu yake ila toka ninakua mpaka Sasa nimekuwa nikimfuatilia KP na kumaizi kuwa ni mtu Mwenye akili,patriotic and visionary zaidi ya Sisi wengi tulio na Doctorates na Masters....

Nisamehe kwa kusema labda unamsigina haiba yake kwa Ad Hominem.

Na uzoefu pia humpa umahiri mtangazaji mfano Masoud Kipanya

Hapa patamu hapa. Kina Jumalokole,Baba levo inabidi watafute kazi zingine.
😁😁😁
Kwani Kina Lokole na Baba Levo ndio Walioomba hiyo kazi ama UTAWALA uliamua?!!!

Isije ikawa vetting ya kupata faida zaidi imefanyika zaidi kuwa recruit halafu wewe unakalia HISIA..😂😂
 
Kuna kipind flan radio nyng zilianza kuajir wachekeshaji maaruf kama watangazaji, wasafi walipo mchukua M kitenge Efm ikawaleta kina kingwendu, Steve nyerere , alaf wasafi wakaongeza tena zembwela TCRA walisema hivyo hivyo waajir wazingatie taaluma lakin hakuna jipya lililo endelea huo ni upepo tu wa muda mfup, sahiv kupata ajira huk kwenye media ni changamoto kdogo hasa uwe huna jina wala uzoefu
 
Back
Top Bottom