Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 788
hahahaha si utoe mchnganua basi!Jamani acheni kulalamika,kozi za mambo ya mawasiliano ni aghali sana
Au ukisoma Mawasilianao una kodishiwa chuo kizima?
hahahaha si utoe mchnganua basi!Jamani acheni kulalamika,kozi za mambo ya mawasiliano ni aghali sana
Hivi upungufu wa madawati nchi nzima gharama yake sh. ngapi?
Mtoto anakaa chini wengine wanasomeshwa ka 2.2 bilioni? manina walai!
Kuna vitu vinatia hasira nchi hii we acha tuUmegusa ndipo mkuu,maana hapa tunajadili watu 3 kupewa elimu tena ya muda mfupi kwa vijisent bil.2++ wakati akina kayumba hawana madawati,walimu,vitabu na kaka zao vyuoni wanakosa mikopo!aaargh!!
Kwenye RED:Nzagi alisema mafunzo katika sekta ya mawasiliano ni gharama kubwa na hiyo ndiyo iliyofanya itumie Sh4.1 bilioni kwa mwaka. Hata hivyo, alisema si kweli kwamba Sh2.2 bilioni zilitumika kusomesha wafanyakazi watatu tu nje ya nchi, bali hayo ni makosa ya kihasibu.
Pia, Jaji Chipeta alisema hakuna ubadhirifu katika mamlaka hiyo akisema kilichojitokeza mbele ya kamati hiyo ni makosa ya kibinadamu .
Jamani acheni kulalamika,kozi za mambo ya mawasiliano ni aghali sana
Leo nimetokwa machozi. Nchi haina uongozi haina wenyewe. Nimesoka uk wa kwanza wa mwananchi kuwa tcra imetumia 2.2 bilioni kusomesha wafanyakazi watatu kwa mwaka mmoja. Nimepiga mahesabu hela hii ingesomesha watoto wa tanzania 300 vyuo vikuu hadi wamalize. Vijana wetu wanaambiwa hakuna hela ila kumbe wakubwa wanalipana mabilioni.
Wale washabiki wa ccm kina malaria sugu shangilieni tena. Mnashangilia wenzenu wanaokula, walioamua kuiangamiza nchi. Shame to ccm, shame to jk