TCRA: X ndio wamesitisha huduma nchini. Tuliongea nao waondoe maudhui ambayo hayana "maadili" ya Kitanzania

TCRA: X ndio wamesitisha huduma nchini. Tuliongea nao waondoe maudhui ambayo hayana "maadili" ya Kitanzania

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi?

Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia.

Basi sawa!

=============================

Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa Mhifadhi Mwandamizi, anazungumzia sababu halisi kwa nini mtandao wa X (zamani Twitter) haupatikani kwa sasa nchini Tanzania.

aibu naona mimi au tulifahamu maana ya vpn ilikuwa inasema nini kuhusu maana yake.Yani huduma za internet sio kikwazo ila kikwazo kinaweza kutoka kwa nchi na serikali kuzuia sababu yeye ndio mwenye maamuzi na sio mwenye huduma.
 
Hawa wanadhani vijana wa sasa ndio hao hao wa 70s?
 
Wakuu,

Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi?

Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia.

Basi sawa!

=============================

Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa Mhifadhi Mwandamizi, anazungumzia sababu halisi kwa nini mtandao wa X (zamani Twitter) haupatikani kwa sasa nchini Tanzania.

Ila TCRA, hapo jamaa anaona ni point kubwa na ya kiakili
 
Wafunge hata mitandao ya mawsiliano voda yas na airtel watu washaelewa tutatembea mguu kwa mguu
 
Kuna wakati nakaa nakuwatathmini watu kama huyu bwana na wenzake waliojaa huko serikalini yaan ikiwemo pia namabosi wake, nasikitika sana coz naona kabsa jinsi wanavyotuchukulia sisi watanzania kuwa niwapuuzi, wajinga na hatuelewi kitu. Yaani kweli eti maudhui yaliyomo kwenye mtandao wa X ndio umefanywa ugungiwe? Wakati tunajua kabsa kuwa hili sakata lilianza kabsa wakati Tundu Lisu alivyokamatwa nakufunguliwa mashtaka, na cha zaidi ni wakenya waliomo kwenye mtandao huo walivyoanza kumkashifu nakumtusi raisi wa Tanzania. Yaan hili ni gubu tu na linaonekana kabsa kwann tuwe wanafki nakuficha ukweli? Kuna watu wako kwenye siasa wanajidai kuwa wana umizwa roho na wanapigania mauthui kwenye mtandao wakati kiukweli ni kwamba wanataka ukweli juu ya uchafu na uozo wanaofanya usijulikane wala kuonyeshwa ña njia kubwa yakuwafungua macho watu ni kwa njia ya mtandao wa X. Watanzania hatujalala na tunajua nakuelewa kila kitu. Waliomo kwenye serikali wameshatusaliti na hatuna Imani nao

#UpuuziUnaendelea
#SiasaZaTanzAnia
#UovuNaUozoSiasaTanzania
#BackBenchers
 
Kama kulikuwa na contents hazina maadili serikal na vyombo vyake viliendelea kuweka taarifa zao kule....walitaka hizo taarifa wazione watu wasio na maadili....nonesence....si waache kuwa wapumbavu.Wananchi tunajua kuwa ishu ya No reform No election na wale walikokwa wanamshambulia kizmkaz ndo sababu...we ar not stupid like them
 
Yaani unakubali kusimamisha huduma za X Kwa sababu za siasa za kipuuzi karne hii?..
Haya tumefika huko, what is the solution sasa baadala ya X.
Wenzenu China, Russia nk bila shaka wana solution za hizi mambo na sababu zao pia inawezekana ziko genuine.

Ni hatari sana kupambana na muda.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Kama mtandao wa X unaruhusu mambo ya kipumbavu, naunganmkono uendelee kufungiwa, hamna namba.
 
Kukaa kimya ni silaha nzuri sana!
Itoshe kusema Tanzania kuna watu wapumbavu wa kiwango cha juu sana...
Takataka kabisa!
 
Haa haaaa! Na hecheka tu, hivyo maudhui ya liyopo TikTok ni mazuri kuliko Twitter? Hivyo hayo mauchafu ya watu kukaa uchi nayo ni staa? Hopeless 🚮
 
Back
Top Bottom