TCRA washughulikieni Halotel

We mzee umetumwa au? Biashara ni competition. Kama HALOTEL wameona kwa kufanya hayo watapata wateja wengi shida yako iko wapi? Labda useme kifurushi cha chuo ni kosa kutumiwa na watu wengine. Halafu unajua definition ya mwanachuo/mwanafunzi? Halotel hata wakiamua kutoa huduma bure poa tu. We kaa tu na ukiritimba wa akina voda na tigo.
 
TCRA
fair competition act bleached
 
Unavyo pata urahisi wa kitu chochote lazima moyo ufurahi lakini wakati unafurahi ujue kuna watu wanaumia kama vile tigo voda nk sasa wewe mwenda wazimu unaamka na kuona kwamba halotel wamefanya kosa kutupunguzia majukumu alafu wewe unashabikia
 
Hajui maana ya ushindani
 
pili pili ya shamba inakuashia nn, Aibu umetumwa na mitandao mengi heti wanakosa Wateja kama wameshidwa ubunifu ni wao.
 
Huu wote kwa Kiswahili unaitwa Umbeya.
 
Tena Mi nasajiri kwa buku, acha roho mby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…