gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 412
nilishafanya nao kazi ila wao hawakujua nilikua nafanyautafiti kile kitengo hakitoi matokeo chanya kama kilivyokusudiwa kuna mapendekezo nilitoa huenda kikafanyiwa reform kiutendaji
Tatizo itaibuka biashara ya screen za simu,housing ,mother bodyand batery Darn!Mkuu mtu akiiba simu akaenda kuuza mtu akanunua iko locked, wakiendelea hivohivo mara kadhaa itafika muda mtu kabla hajanunua kitu anahakikisha kua haiko blacklisted, mwisho wa siku wezi watakosa soko sababu kila mtu atataka kukagua simu kwanza....
Labda wabadilishe IMEI process nyingine hiyo vibaka wengi bongo hapa hiyo knowledge hawana
Nitaijuaje IMEI yangu?.
Habari wanabodi,
TCRA imesikia vilio vya wadau wa simu za mkononi,taarifa za ndani zinasema kwamba kuanzia May 2015 simu yako ikiibiwa piga simu haraka sana huduma kwa wateja TCRA kuelezea upotevu wa simu yako,jambo la msingi ni kukumbuka IMEI/ESN ya hiyo simu TCRA kwa kushilikiana na mitandao ya simu wameanzisha CEIR (Bonyeza hapa Kujua maana) ambayo itakayoanza kufanya kazi May 2015.
Sasa mwizi akiiba simu yako haitofanya kazi tena chini tanzania hata wakii-flush kwa matapeli wa k/koo.Safi Sana TCRA
CEIR ni nini? Ni mtambo ambao utakuwa unafanya kazi ya kuzuia simu zilizolipotiwa kama za wizi zisiweze kukamata mtandao wowote nchini tanzania.Hii ina maanisha ukishareport upotevu wa simu na ikishakuwa blocked that means hiyo simu inakuwa Toy la kuchezea watoto.
Kwa upande mwingine inaweza kuwa pigo kwa wafanyabiashara wanaoleta simu zilizoibiwa nje ya tanzania kuja kuuza huku nchini kwetu kama TCRA wakiunganisha na CEIR za nchi nyingine maana hazitofanya kazi pia nchini.
Nilipoteza simu two weeks ago nilipokuwa Tz. Niliporudi niliwataarifu network providers wangu wakaiblock.
Kama ni Iphone unaweza pia kuiblock kwa any other device kama umeiunga na iCloud. Ikiwashwa sehemu yenye wifi, inapiga alarm na kudisplay message yoyote utakayodesign.
hawawezi kufanya hilo...mm nawaonaga wahuni tu....mambo mengi ya deal chafu yanafanyika kwa kutumia mitandao ya simu lakini hakuna lolote walilofanya....vitengo muhimu kama TCRA kwa nchi za wenzetu lazima kiwe chini ya Jeshi au Taasisi ya usalama wa Taifa ili kifanye kazi vizuri.
nilishafanya nao kazi ila wao hawakujua nilikua nafanyautafiti kile kitengo hakitoi matokeo chanya kama kilivyokusudiwa kuna mapendekezo nilitoa huenda kikafanyiwa reform kiutendaji
simu umeiacha bongo, provider wako wa huko hana mamlaka juu ya provider wa huku, jizi la hiyo simu bado linaitumia kama kawaida.
Hizi stori za CyberCrime nimezisikia sana tu lakini sijui kama ni kweli. Nimepoteza Simu January mpaka sasa sijaipata!
Wako uchochoro gani? Na kwa nini wamejificha? Mpaka uunganishwe????
let say nimeiba galaxy s5 yako, then nikachange imei nikaeka nikaeka ya galaxy s5 ya kenya ambazo ni version moja ya africa watajuaje?
Ukumbuke details za simu zinakaa kwenye efs folder hivyo ni rahisi kuudanganya mtambo wowote duniani usijue. nchi kubwa duniani wameshindwa ku implement hiki kitu ndio maana unaona nina doubt.
Hiki kitu kinatakiwa kifanywe na watengeneza simu wenyewe.
Kill switch ya apple inasaidia zaidi
Wezi wenye utaalamu kama wako hawapo au wapo wachache sana.
Good move ila sasa sijui wangapi watakumbuka IMEI zao...
Ukibadili IMEI na ukagundulika adhabu ni fine ya milioni 30 au miaka mi3 jela au vyote kwa pamoja.kaka app zipo hapo playstore kuchange imei (simu za mediatek) au ukiikosa playstore zinapatikana kirahisi tu mtandaoni hazihitaji utaalamu wowote.