Mie mtu akikiwiba simu yangu nashukuru tu naona zali lake.. Labda wafanye mpango niweze kuipata simu yangu ntakuwa naripot ila kwa kuiua tu namuacha tu nae akafurahie ulimwengu wa smartphone
Sijaona faida hapo ilopatikana na na hao TCRA mm nilizani wataweza kufanya triangulation na hatimaye niweze kuipata simu yangu tena sasa hicho kinachofanyika ni kwamba tukose wote but kwa wezi ipo njia ya kuweza kuendelea kuitumia hiyo simu amini inawezekana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.