TCRA rungu lao lingekuwa linafika Kenya, wangeifungia Citizen maisha

Yaani wewe ni zaidi kituko cha mwaka Kenya inaheshimu sana ushauri wa kitaaluma na kisayansi na kwa taarifa yako hapa Kenya barakoa ni zaidi ya kupiga mswaki.
Umeona mikutano ya BBI ya Uhuru na Ruto au bado umekariri bwashee?
 
Naona Kenya inataka kushika Nyati sehemu za siri Sasa
Kenya wanatutia kidole,.
Kenya wanatutafuta,

Hivi hawaogopi kujenga chuki na sisi?

Hivi muziki wetu wanaujua kweli??

Si tunamuziki unapigwa mpaka Congo,

Namaanisha WAAH! NA YOPE. 😀😀😀😅😀😀😀
 
Back
Top Bottom