TCRA - online content watatubanaje ili tulipe?

mickey.T

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
482
83
Hivi hawa jamaa watatumia njia gani kutubana ili kila blogger alipe

Tukipata mbinu watakazo tumia ndio tuje na solution

Nawasilisha
 
kila pesa yako inayoingia kupitia western union au bank iliyotoka google au company nyingine wanakata percentage yao direct kabla hujaipokea..:(:(
 
ni sawa na kujaribu kuzuia mafuriko kwa tenga. teknolojia ni bure na iko duniani kote na makampuni yanayoshikilia domain zetu na hosting ziko hukoooo marekani sio hapa kwenye hili wamechemka mnoo labda wazuie blogger na youtube zisiwe accessed nchini ila tu wasisahau kuna kitu kinaitwa VPN alafu nani ahangaike na traffic ya tanzania isiyo na faida kwa adsense?
 
Tuseme domain. Umesajili nje, ukaweka na privacy protection, hosting umechukua nje nayo.. Hapa wanakupata VP kwamfano
 
Tuseme domain. Umesajili nje, ukaweka na privacy protection, hosting umechukua nje nayo.. Hapa wanakupata VP kwamfano
Wabongo ni waoga sana wao wakitishiwa kidogo tu wanapanga foleni. Hapo kukupata ni ngumu kwasbb wakiangalia wanaotumia content za kiswahili bado kwasbb Kiswahiki kinatumika karibia Africa nzima.
Watawabana wenye co.tz. Kuna nchi ukiangalia maamuzi yao ni aibu sana huenda Tz ikaweka record kweny huu mchezo wa kulipisha blogger
 
Sioni ulazima blog ipatikane tz. Bora kuifungia Watembeleaji wa tz wasiipate.
 
Back
Top Bottom