Wabongo ni waoga sana wao wakitishiwa kidogo tu wanapanga foleni. Hapo kukupata ni ngumu kwasbb wakiangalia wanaotumia content za kiswahili bado kwasbb Kiswahiki kinatumika karibia Africa nzima.Tuseme domain. Umesajili nje, ukaweka na privacy protection, hosting umechukua nje nayo.. Hapa wanakupata VP kwamfano