TCRA na NIDA mtembelee Kigoma, Kagera na Ngara

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,487
Natoa ushauri wa bure kabisa kwa Wakurugenzi Wakuu wa NIDA na TCRA kutembelea mikoa tajwa hapo juu kabla ya tarehe 20 mwezi huu ambapo line za simu zote zisizo na usajili wa kitambulisho cha NIDA zitasitishiwa huduma.

Kama tukiendelea kuwafanyia Waha, Wahangaza na Wanyambo mambo tunayowafanyia kuna siku wataingia msituni kudai kujitenga ili waungane na Rwanda au Burundi.
 
Kweli kabisa
Waha tunapata tabu sana uhamiaji.
Mkuu nikuulize swali hivi hilo kabila mkiwa wengi mnaitwa waha ukiwa mmoja unaitwaje!maana nishazoeo makabila mengine mfano wanyamwezi mnyamwezi.ebu tuambie mkuu
 
Natoa ushauri wa bure kabisa kwa wakurugenzi wakuu wa NIDA na TCRA kutembelea mikoa tajwa hapo juu kabla ya tarehe 20 mwezi huu ambapo line za simu zote zisizo na usajili wa kitambulisho cha NIDA zitasitishiwa huduma.

Kama tukiendelea kuwafanyia Waha, Wahangaza na Wanyambo mambo tunayowafanyia kuna siku wataingia msituni kudai kujitenga ili waungane na Rwanda au Burundi.
TCRA na NIDA watembelee wilaya ya kiteto na SIMANJIRO, hali ni tete
 
Hivi inacost kitu gani kigoma kujitenga..binasfi sioni faida ya kigoma kua moja ya mkoa wa Tanzania.
Kigoma muende mukamuombe rais nkrunzinza awapatie makomandoo muanzishe vuguvugu la kudai Uhuru wenu maana manyanyaso yamezidi
 
Mikoa ya yote inayopakana na Nchi jilani hata ile inayo fuata kwa karibu, NIDA, Migration, TCRA, NEC, wanatakiwa kuwa ZAIDI YA MAKINI kuandikisha watu kwa vitambulisho au kupata takwimu.

Ushauri wako usisikilizwe. Hata hivyo tahadhari hii imeshachelewa. Wahamiaji halamu wanajua kutumia fulsa, huwa Jambo linaponitokeza wanakuwa wa kwanza kupata huduma husika wakati walivya wakiwa bado wamejifunika shuka nzito.
 
[QUOTE="Muha kwa hiyo wakiwa wengi ndio waha uoni kunatofati na makabila mengine kwenye utamkwaji teteeeteee
 
Natoa ushauri wa bure kabisa kwa wakurugenzi wakuu wa NIDA na TCRA kutembelea mikoa tajwa hapo juu kabla ya tarehe 20 mwezi huu ambapo line za simu zote zisizo na usajili wa kitambulisho cha NIDA zitasitishiwa huduma.

Kama tukiendelea kuwafanyia Waha, Wahangaza na Wanyambo mambo tunayowafanyia kuna siku wataingia msituni kudai kujitenga ili waungane na Rwanda au Burundi.
Msitu gani huo waliingia?
 
Back
Top Bottom