Elections 2010 TCRA na makampuni ya simu wanavyokata michango kwa ajili ya CCM

Boss, sijawahi kuip[enda CCM tangu nazaliwa, na zaidi, sina utaratibu hata wa kujiunga na bahati nasibu...simu yangu siiachi katika hali ambayo mtu anaweza kuiunganisha, kwanza sina marafiki ambao ni CCM, na zaidi kabisa, hapa nilipo namba zetu watu watatu zimerudisha hayo majibu?????

Nenda kaombe statement yako then utajua kama kweli umechangia au la!!
 
Wadau, kuna jamaa yangu kanipigia simu na kuniambia kwamba Watanzania wote tunachangia kampeni za CCM bila kujijua kila tunapotumia huduma ya simu...akaniambia kama siamini, nitume meseji (neno HAPANA) kwenda 15016, nitatumiwa ujumbe...nimefanya hivyo, na huu ndio ujumbe niliotumiwa......
ASANTE KWA UJUMBE WAKO,UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII
YA CHANGIA USHINDE NA CCM...sender 15016

Sasa, hivi hii ni halali kweli????? CCM imeona kwamba kutuibia kwa ahadi za uongo imeshindwa sasa imeamua kuchukua pesa zetu kidogo kwa ulaghai???

Nchi ya rushwa.

Aibu ya Kikwete na usanii wake.

Nchi za wenzetu hii ingepelekwa mahakamani na watu wangelipwa fidia.

Lakini hapa utakimbilia wapi??

Endeleeni kulia-lia. Mliyataka wenyewe Oktoba 2005.
 
Wadau, kuna jamaa yangu kanipigia simu na kuniambia kwamba Watanzania wote tunachangia kampeni za CCM bila kujijua kila tunapotumia huduma ya simu...akaniambia kama siamini, nitume meseji (neno HAPANA) kwenda 15016, nitatumiwa ujumbe...nimefanya hivyo, na huu ndio ujumbe niliotumiwa......
ASANTE KWA UJUMBE WAKO,UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII
YA CHANGIA USHINDE NA CCM...sender 15016

Sasa, hivi hii ni halali kweli????? CCM imeona kwamba kutuibia kwa ahadi za uongo imeshindwa sasa imeamua kuchukua pesa zetu kidogo kwa ulaghai???

Habari hii ni ya kweli. Nimejaribu. Nimethibitisha. Si habari ya kupuuza.

Tuamue cha kuwafanya makampuni ya simu.
 
Nimetuma na nimejibiwa ASANTE KWA UK(SIO J)UMBE..(UKUMBE) WAKO, UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII YA CHANGIA USHINDE NA CCM.....Kweli bongo tambarare
very true mkuu, ni ukumbe... yaani ung'amuzi wako kwamba ulikua unaliwa

if this is true kwamba ulikuwa kwenye hiyo huduma bila kujijua... can we take our mobile service provider to court?
 
THIS IS CRAZY

WAHT IS GOING ON???????????????????????????????????????????????

NIMETUMIA TIGO YANGU KWENDA KWENYE NUMBER 15016

SIJAWAI KUJIUNGa

WHT IS GOING ON?????

ASANTE KWA UKUMBE WAKO, UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII YA CHANGIA USHINDI NA CCM
 
NI KWELI uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nimetuma neno hapana na nimejibiwa "Asante kwa ukumbe wako,utatolewakwenye huduma hiiya Changiaushinde na CCM"
Sijawahi kujiunga na mpango na ZAIN watanieleza kikamilifu na nashauriana na mwanasheria wangu sasa HIVI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
very true mkuu, ni ukumbe... yaani ung'amuzi wako kwamba ulikua unaliwa

if this is true kwamba ulikuwa kwenye hiyo huduma bila kujijua... can we take our mobile service provider to court?

Definitely inabidi tupate wanasheria safi kabisa. Ukweli ni kwamba kuna mengi tunaliwa na hatujui. Tatizo hawajui kuwa dunia imebadilika na sasa utandawazi na ufahamu umeenea. Almada CCM umelewa
 
hii ina maana gani? labda kama huu ujumbe una maana nyingine siyo kuwa tulikuwa tunachangia. na mimi nimejaribu kutuma hiyo sms na nimepata ujumbe huo huo wa kutolewa kwenye huduma ya changia CCM ishinde.
najaribu kufikiria kwa nini wamefanya hivyo? natumia mtandao wa VODA. I hate them kama ni kweli
 
TCRA+VODACOM+MAKAMPUNI YA SIMU YANAVYOKATA MICHANGO KWA AJILI YA CCM
Napenda kuchukua fursa hii kuutarifu umma wa watanzania unyonyaji unaofanywa na makampuni haya ya simu bila hata watanzania kugutuka ili wote tuone kama kuna fair play katika uchaguzi huu
1. Baada ya changia CCM kwa sms kushindikana sasa wamebuni njia mbadala nayo ni kutoza asilimia 10% ya kila salio unaloweka na linakatwa wakati unapopiga simu nao sio instant…kama tulivyozoea na hii ni kwa wateja wa simu zote kama hupendi kuendelea kuchangia mafisadi tafadhali tuma neno HAPANA kwenda namba 15016 (Hii ndio proof ya ninachosema) Huu ni UONEVU WA WAZI WAZI
2 Baada ya ujumbe wa kashfa ambao TCRA waliukanusha kuwa hawahusiki tena kupitia TV ya TBC asubuhi wakati wa kipindi cha jambo leo Uchunguzi wangu wa siku tatu umeonyesha kuwa kati ya watu mia niliozungumza nao walioutumiwa ujumbe ule wa kumkashifu Dr Slaa basi 100% wanamiliki mtandao wa Vodacom(TCRA MTUJIBU HIZI NAMBA ZOTE ZILIPATIKANA WAPI?)
Nilipoileta hii maana yangu kubwa ni watu kufahamishwa na kufanya utafiti ili waprove na hapo ndipo tufanye maamuzi makubwa kwa ajili ya Taifa letu na watu wake....La kwanza ni october 31 tumenyanyaswa vya kutosha na sasa ni mwisho huu ni wizi mdogo sana na bado ipo mingi na hapa bado nafauatilia kujua kwanini inflation haipungui ntaleta taarifa nyingine za kiuchunguzi..PENDEKEZA TUFANYE NINI SHERIA ZINASEMAJE.
 
Fuatilieni jamani tujue walidokoa kiasi gani toka kwenye e-EPA!
 
Mi niliweka hela jana katika simu yangu na kisha nikajiunga na cheka kwa dk 100 jana. Leo fedha yangu yote imeisha, na inaonekana sina hata balance ya dk za cheka. Muda nillioongea haufiki dk 100 na balance yangu yote imeenda. Mi ni mwana CCM lakini kwa uhuni huu kurra yangu sasa nailekeza kwa mtu pekee anayeweza kubana wezi wanawaibia wananchi wa kawaida kama mimi wakati wao wana mabillioni lakini bado wanathubutu kuniibia Tsh 3000 za jasho langu nilizotumikia kwa siku 2. Nitamwambia na mke wangu kuwa tumeibiwa naamini naye hatavumilia kwani yeye amekuwa analima viazi ili tuweze kujikimu!!!!!!!! Ama kweli mafisadi wamefika kila kona. Ikiendelea hivi hata kadi mimi nitawarudishia.
 
Mie nilijulishwa na rafiki yangu juu ya hilo. Nikaandika neno HAPANA na kuituma kwenda no,15016. Nikajibiwa"...utatolewa kwenye huduma hii changia ushinde na CCM".

Nikampigia mhudumu wa huduma kwa wateja na kumwuliza kwamba imekuwaje mimi nipo kwenye huduma ambayo sijawahi kujiunga nayo? Akaniambia kwamba eti watu wengine wanajiunga bila kujua. mfano, watu wengine wanajibu ujumbe bila kujua wanafanya nini.

Kwa KWELI sikumwelewa mhudumu aliyenieleza hivyo kwani mimi sijawahi kujiunga na huduma hiyo, na sasa hivi inaonekana kila anayeandika neno HAPANA na kuituma kwenda namba 15016 anaambiwa umetolewa kwenye huduma ya kuchangia CCM. Imekuwaje watu wengi hivi wajiunge bila kujijua?

Ndugu zangu kama fedha ziliibiwa BOT mnafikiri ni kazi ngumu kuiba hivi vijisenti kutoka kwa wateja wa simu? tumeambiwa kuwa mafisadi nchi hii na wanaongozwa na CCM watu wengine hawakuamini hayo. Habari ndiyo hiyo
 
Wana jf msidangayike na watu wanaotumia mtandao huu kutisha watanzania.
Ndani ya tanzania sheria zinafuatwa kikamilifu na tcra pamoja na mitandao yote na watoa huduma mbalimbali za "vas" wanafuata taratibu zilizowekwa na tcra kikamilifu.

Kumekuwa na ujumbe unaosambazwa unaosema:
"tuma neno hapana kwenda 15016 uone maajabu" huku wengine wakisema mitandao na ccm zinachukua fedha za wateja kwa wizi - yaani ujanja ujanja.

1. Hii namba ni ya bure hai chaji hata sent moja - jaribu ukikatwa nenda kadai utarudishiwa hela yako
2. Hii ni namba ya mawasiliano.
3. Ukituma neno ccm au chochote - utaambiwa asante kwa kujiunga.
4. Ukituma neno ndio - utaambiwa "asante kwa kujiunga na huduma hii ya changia ccm na ushinde zawadi kati ya pikipiki 64, baiskeli 200 na millioni 45 kutoka ccm. Kujitoa tuma neno hapana kwenda 15016"
5.ukituma neno hapana - utaambiwa asante kwa ujumbe wako, utaondolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na ccm.

Tcra na mitandao vinajua hii namba inafuata sheria zote ndio maana haitahangaika na wazushi wasio fikiria bali kuropoka ropoka tu. Hawa inabidi tcra na polisi iwashughulikie kwani ni kosa la jinai kuanzisha false panic alerts kwa jamii.

Lakini pia kumbuka kila unapotuma neno lolote kwenye namba hiyo tayari unakua kwenye database ya ccm. Wakikutumia ujumbe wowote rpomosheni au mawasiliano usije lalamika maana umeingia anga zao.

Kumbuka haya majibu yote yamewekwa kwenye computer na inakujibu kufuatana na ulicho andika.

Guys hakuna wizi hapa - acheni kudanganya watu bure.

Vinginevyo baada ya kutuma neno lolote kwenye hiyo namba, nenda tcra na majibu uliyopata ukashtaki, kama watakuuliza ulifuata nini kwenye hiyo namba na unataka wakusaidie je.
 
SITAKI
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Tue Oct 2010
Posts 4
Thanks 0
Thanked 2 Times in 1 Post Rep Power 0

Wewe mpuuzi. unaposema kuwa mtu ukijiunga umeingia kwenye anga lao ina maana hata hizo meseji za kutishia usalama wa taifa na kuwaita wenzenu SHETANI ni sahihi kweli? Mnatuma sms ambazo hata mtoto hapaswi kuzisoma zimejaa ushenzi na matusi na vitisho ili tuwape kura zetu. Tangu lini ccm iwe baba wa Tanzania? tangu lini ccm iwe ndiyo uhai wa taifa letu?

mbona mnajifanya mpo juu ya sheria ninyi wapuuzi? Nawaona hamna tofauti na wavuta unga ambao baada ya kulewa madaraka mnafanya lolote mkidhani ni ubunifu. ona sasa mnavyowahangaisha vyombo vyetu vya usalama na kuwaweka njia panda maana hata hao hawaamini kama chama chenye dhamana ya muda mrefu kitajitia kongwa la kuharibu misingi iliyokijenga.

Kwa kuwa mnawatishia hao polisi mkidhani ndiyo mmeshika ajira zao mjue kuwa NCHI inawaangalia mnavyotenda na dhambi yenu inawatafuna bado kidogo tu mtakwisha. Go to hell CCM big time
 
duuuh kweli ndo maana unaitwa msanii - "tunga wimbo tutanunua album yako"

anyway, ukweli ni kwamba CCM inatumia technologia ya juu na inaja nini maana ya kutimiza sheria zote za kazi. utalalamika hadi uchoke, lakini usingetaka sms za ccm usingejiunga mr msanii.

Always read the small prints - siku nyingine utajipiga bei bila kujua. use your head dude.
 
CCM waturudishie mafungu yetu waliyoyadokoa kwa ufisadi, walifikiri hatutawagundua! Wamemulikwa kila kona this time hatoki mtu, hata akija Shimbo na vitisho vyake, they are on the wrong side of history!!
 
duuuh kweli ndo maana unaitwa msanii - "tunga wimbo tutanunua album yako"

anyway, ukweli ni kwamba CCM inatumia technologia ya juu na inaja nini maana ya kutimiza sheria zote za kazi. utalalamika hadi uchoke, lakini usingetaka sms za ccm usingejiunga mr msanii.

Always read the small prints - siku nyingine utajipiga bei bila kujua. use your head dude.
siyo kila msanii ni mwimbaji we mwanalulelege. Sikatai kama wamefuata sheria ccm ndiyo engine master ya kila idara ya serikali ndo maana hata Tume inafanya kazi kwa matakwa ya CCm, hizo sheria za uchaguzi zenyewe mnazivunja seuse za mawasiliano?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom