TCRA mulikeni king'amuzi cha Azam

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
1,064
2,000
Wakati TCRA na serikali wanapapatuana na Makampuni ya simu katika kumpa unafuu mlaji hasa kwenye vifurushi vya bando, kuna suala la hawa wamiliki wa Ving'amuzi.

Mimi nimekuwa victim na King'amuzi cha Azam kwa muda mrefu sana sijui kwa wengine. Wamefanya mabadililko sawa kwa kupunguza gharama za malipo lakini hapa kuna udanganyifu umefanyika. Lakini kubwa zaidi unalipa 20,000 kwa mwezi unaangali vipindi ama makala zilezile zingine zinazaidi ya miezi 6 ama mwaka kwa mfano National Geographic Wild kuna huyu Daktari wa Wanyama sijui DR. Paul ni marudio ya vipindi vyake.

Ukija huku kwenye channel ya Wadada wa kazi Sinema Zetu ni ujinga mtup. Kkila siku kuja sinema zinarudiwa sina muda wa kuangalia lakini dada zangu wa kazi walilalamika sana kuwa tunaibiwa sinema zao zinarudiwa sana.

Kuna yule jamaa wa kutoa majoka ndani hii Makala inazaidi ya mwaka wanarudia tu. Kwa usawa huu wa Mi5 tena hali sio nzuri maana 28000 ama 20000 kwa mwezi halafu unaangalia makala ama vipindi ambavyo vina zaidi ya mwaka hapa TCRA ingilieni kati.
 
Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
1,064
2,000
labda uwezo wa kufikiri. dstv kiwango cha chini ni shilingi 19,000 na hicho unacholalamikia ni elf 20
hivyo dstv ni nafuu
Sijui umeelewa ninacholalamikia ni vipindi vyao. 19000 pia ni pesa lakini kama ina value for money ni sawa ila kulipa kitu ambacho unakitazama miezi 6 ni wizi hata ingelikuwa shs.5 siangalii quantity naangalia quality. Nalalamikia Azam unakuja na ushauri hewa wa kuhamia DSTV kwa maana hiyo wewe kulikabili tatizo uwa unalikimbia baada ya kulikabili.
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,972
2,000
unalipia kifurushi cha 20elfu halafu baadhi ya chanel hazipatikani, huu ni uhuni,
AZAM mmelewa baada ya kuwa na wateja wengi sasa mnajifanyia tu mnavyo jisikia.
unalipia gharama kubwa chaneli chache!! hii haikubaliki
 
ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
2,781
2,000
Sijui umeelewa ninacholalamikia ni vipindi vyao. 19000 pia ni pesa lakini kama ina value for money ni sawa ila kulipa kitu ambacho unakitazama miezi 6 ni wizi hata ingelikuwa shs.5 siangalii quantity naangalia quality. Nalalamikia Azam unakuja na ushauri hewa wa kuhamia DSTV kwa maana hiyo wewe kulikabili tatizo uwa unalikimbia baada ya kulikabili.
Mtoa mada sikuelewi,mara nyingi marudio ndio hufanya watubwaelewe stori.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,966
2,000
Wakati TCRA na serikali wanapapatuana na Makampuni ya simu katika kumpa unafuu mlaji hasa kwenye vifurushi vya bando, kuna suala la hawa wamiliki wa Ving'amuzi.

Mimi nimekuwa victim na King'amuzi cha Azam kwa muda mrefu sana sijui kwa wengine. Wamefanya mabadililko sawa kwa kupunguza gharama za malipo lakini hapa kuna udanganyifu umefanyika. Lakini kubwa zaidi unalipa 20,000 kwa mwezi unaangali vipindi ama makala zilezile zingine zinazaidi ya miezi 6 ama mwaka kwa mfano National Geographic Wild kuna huyu Daktari wa Wanyama sijui DR. Paul ni marudio ya vipindi vyake.

Ukija huku kwenye channel ya Wadada wa kazi Sinema Zetu ni ujinga mtup. Kkila siku kuja sinema zinarudiwa sina muda wa kuangalia lakini dada zangu wa kazi walilalamika sana kuwa tunaibiwa sinema zao zinarudiwa sana.

Kuna yule jamaa wa kutoa majoka ndani hii Makala inazaidi ya mwaka wanarudia tu. Kwa usawa huu wa Mi5 tena hali sio nzuri maana 28000 ama 20000 kwa mwezi halafu unaangalia makala ama vipindi ambavyo vina zaidi ya mwaka hapa TCRA ingilieni kati.
Kumbe mpaka likupate! Walipoongeza gharama nilikuja hapa nikapiga kelele, wakajitokeza watu sita tu kuunga mkono hoja yangu. Kabla ya kuna Azam nilikuwa Star times ambako Mara kadhaa nilikwenda ofisini kwao kulalamia picha zilezile miaka zaidi ya kumi! Nikaachana nao. Nilipoingia Azam nanunua kifurushi bila ya kujua kilichomo ndani! Nikapost Azam mnatuuzia vifurushi ndani ya mifuko myeusi ya Rambo, mkakausha, leo nawe unakuja na yaleyale niliyoyalalamikia!
Karibu.
 
Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
15,650
2,000
Sijui umeelewa ninacholalamikia ni vipindi vyao. 19000 pia ni pesa lakini kama ina value for money ni sawa ila kulipa kitu ambacho unakitazama miezi 6 ni wizi hata ingelikuwa shs.5 siangalii quantity naangalia quality. Nalalamikia Azam unakuja na ushauri hewa wa kuhamia DSTV kwa maana hiyo wewe kulikabili tatizo uwa unalikimbia baada ya kulikabili.
Kifurushi cha 19 elf dstv utalilia chooni
 
uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
2,533
2,000
Mi azam nimenunua kwa ajili ya mipira tu na matukio ya kisport ofisini natumia startimes azam pia wana zile MBC NA KIX wana movie nzuri mapungufu yapo ila wanajitahidi
 
IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
10,019
2,000
Sijui umeelewa ninacholalamikia ni vipindi vyao. 19000 pia ni pesa lakini kama ina value for money ni sawa ila kulipa kitu ambacho unakitazama miezi 6 ni wizi hata ingelikuwa shs.5 siangalii quantity naangalia quality. Nalalamikia Azam unakuja na ushauri hewa wa kuhamia DSTV kwa maana hiyo wewe kulikabili tatizo uwa unalikimbia baada ya kulikabili.
Ndiyo shida ya wabongo, kukimbia tatizo, eti hamia dstv.. Hilo tatizo la Azam nami nimeliona, nilikuwa nalipa 23,000 but now nalipa 28,000 lakini programs za mwaka juzi zinajirudia tuu kama ile safari channel...
 
IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
10,019
2,000
Kwahiyo hoja hapo ni VIPINDI KURUDIWA!
Yaani wateja kurishwa VIPOLO kwa menu mpya!
Hapo sijui TCRA wataihandle vipi maana kwao wanashugulika kama king'amuzi Chanel hazionekan
Mwendo wa viporo tuu... Hata mkate au maandazi ni viporo tuu ila vimewekwa kwenye mifuko yule mbunge wa Kahama noma sanaaaaa....
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
33,625
2,000
Azam ni kwa ajili ya free channels za kibongo, Malipo yote yafanyikie DSTV.
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
8,583
2,000
personally nina ving'amuzi vitatu (dstv,startimes na azamtv) katika vyote vitatu azamtv naona ndio te best japo nimetumia kama miez mitatu sasa.
 
Mayole ngamba

Member
Jan 4, 2021
88
125
Kwenye mitandao ya simu ndo kuna mizigo ambayo tumeshindwa kuitua, kuna kipindi nimemuona Naibu waziri anapiga mkwala baridi eti
...eti nyie watu wa mitandao ya simu mnawaibia wananchi kwahyo nawapa mwezi mmoja muwe mmelekebisha vifurushi vyenu haraka iwezekanvyo....niliguna tu sikuwa na la kusema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom